Nuru FM
Nuru FM
12 October 2024, 7:45 pm
Na Adelphina Kutika Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga mjini Iringa kukomesha migogoro inayowagawa ili wawe na sauti moja katika kushughulikia masuala yao. Wito huu umetolewa na Katibu Mkuu wa SHIUMA Taifa, Venatus…
10 October 2024, 3:48 pm
Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara mkoa wa iringa ili kuboresha mazingira ya mazuri yatakayowawezesha kulipa kodi kwa wakati. Hayo yamebainishwa na Kamishina mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Yusufu Mwenda katika kikao…
10 October 2024, 3:25 pm
Na Hafidh Ally Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amevitaka vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha kunakuwa na amani na usalama muda wote na kuwachukulia hatua kali wale wote watakaoleta vurugu. Serukamba amesema kuwa…
9 October 2024, 8:52 pm
Na Adelphina Kutika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa kama vyanzo vya nishati. Hayo…
8 October 2024, 12:11 pm
Na Joyce Buganda Serikali imapanga kuboresha miudombinu katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa ili kuongeza idadi ya watalii kufika bila kero huku wawekezaji wakishauriwa kwenda kuwekeza hifadhini hapo. Akizungumza katika kilele cha miaka 60 ya hifadhi ya taifa…
8 October 2024, 12:09 pm
Na Adelphina Kutika Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Mwakiposa Kihenzile amegawa majiko 2000 kwa mabalozi wa mashina wa Chama cha mapinduzi (CCM) katika Jimbo hilo ikiwa ni katika kuendeleza jitihada za kuhamasisha matumizi…
4 October 2024, 3:51 pm
Na Adelphina Kutika Viongozi wa dini kutoka Mkoa wa Iringa wamejizatiti kushirikiana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika kutoa elimu kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji na ulinzi wa mazingira. Haya yanajiri kufuatia ziara ya viongozi October 3 2024…
3 October 2024, 6:56 pm
Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mh. Jackson Kiswaga amechangia shililingi Milioni 1 kwa ajili ya ukarabati wa madarasa shule ya Msingi Kidamali iliyopo Kata ya Nzihi Mkoani Iringa. Akizungumza katika mahafali ya 22 ya darasa la saba…
2 October 2024, 10:25 am
Na joyce Buganda Chifu wa Kabila la Wahehe Mkoani Iringa Adam Abdul Mkwawa ameongoza kundi la wazee kwenda kufanya utalii wa ndani katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha ikiwa ni ufunguzi wa kusherehekea Miaka 60 toka hifadhi ya Taifa ya…
2 October 2024, 10:02 am
Na Ayoub Sanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata Vitus Nkuna (29) Mjasiriamali, Mkazi wa Mwangata Manispaa na Mkoa wa Iringa kwa kosa kusababisha ajali barababarani akiwa amelewa na kuchapisha taarifa za uongo Mtandaoni. Akizungumza na Waandishi wa habari…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.