Nuru FM
Nuru FM
20 January 2025, 12:13 pm
Na Joyce Buganda Umoja wa Tuna Finance Hub kutoka Chuo Kikuu cha Iringa wamejidhatiti kuhakikisha vijana wa Iringa wanakombolewa kiakili na kifikra katika utafutaji na jinsi ya kupata maendeleo katika sekta mbalimbali. Akizungumza wakati wa kutoa elimu hiyo katika chuo…
20 January 2025, 11:38 am
Na Godfrey Mengele Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeanza rasmi zoezi la utoaji mikopo kwa wanufaika 52 wa vikundi vya Vijana, Wanawake na wenye Ulemavu, vilivyo kidhi vigezo vya kupewa Mikopo hiyo, kwa kupewa hundi ya kiasi cha shilingi Milioni…
17 January 2025, 12:46 pm
Na Joyce Buganda Wananchi wa kijiji cha Itimbo, kata ya Ihimbo wilayani Kilolo Mkoani Iringa wamenufaika na msaada wa miti uliotolewa na Shirika la One Acre Fund. Wakizungumza wakazi wa kijiji hicho wakati wa kupokea miti hiyo Wamesema miti hiyo…
17 January 2025, 12:14 pm
Na Sima Bingilek Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa imefanya Ufuatiliaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa katika Shule zetu za Sekondari tangu kufunguliwa kwa shule Jan 13 mwaka huu. Akizungumza wakati wa Ufuatiliaji huo Afisa Elimu Sekondari Halmashauri…
16 January 2025, 5:05 pm
Joto la Uchaguzi wa Chadema limezidi kupanda baada ya Aliyekuwa mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ni Kada wa CCM Peter Msigwa kuonesha nia ya kutamani Lissu awe mwenyekiti wa Chama hicho. Na Hafidh Ally Mwanasiasa mkongwe na Kada wa…
16 January 2025, 12:46 pm
Na Joyce Buganda Serikali ya mkoa wa Iringa inatarajia kupanda zaidi ya miti millioni 42 kwa kipindi Cha mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kuunga juhudi za serikali ya awamu ya 6 Ili kutunza mazingira. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa…
16 January 2025, 12:37 pm
Na Azory Orema Wafanyabiashara wadogo pamoja na ofisi zilizokuwa katika eneo la MR mpaka wa kata ya miyomboni na kata ya makorongoni halmashauri ya manispaa ua iringa wamelelamikia vibanda vyao kubomolewa pasipo kupewa notice ya ubomoaji. Zoezi hilo la ubomoaji…
14 January 2025, 10:48 am
Na Sima Bingilek Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa ametoa wiki Moja kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka shule wanafunzi wote waliochaguliwa kujinga na masomo kwa mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa…
14 January 2025, 10:17 am
Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mkoani Iringa inatekeleza programu ya utoaji mikopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kama ilivyo kwa Halmashauri zote nchini kutokana na mapato ya ndani. Na Joyce Buganda Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mkoani Iringa…
12 January 2025, 12:08 pm
Na Mwandishi wetu Shamba la Miti Sao Hill lililo chini ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania limetajwa kuwa chachu ya uhifadhi wa rasilimali misitu na nyuki hususani katika wilaya ya Mufindi kutoka na shughuli mbalimbali zinazofanyika na shamba katika…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.