Nuru FM

Recent posts

3 March 2025, 11:03 am

Diwani Nziku awahimiza wanawake Iringa kutunza Mazingira

Na Halfan Akida Wanawake wa Manispaa ya Iringa wamehamasishwa kuwa na utamaduni wa kutunza mazingira ikiwemo kupanda miti ya vivuli pamoja na matunda katika maeneo yao. Wito huo umetolewa na , Diwani wa Viti maalum Manispaa ya Iringa, Dora Nziku…

28 February 2025, 8:46 am

Wenezi CCM Wilaya ya Kilolo wapatiwa semina ya kutekeleza majukumu yao

Na Joyce Buganda Kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu makatibu, siasa, uenezi na mafunzo w CCM ngazi ya kata na matawi  wilayani kilolo ukanda wa juu wamepewa semina elekezi ili kuwaandaa na kuwakumbusha kutekeleza majukumu yao Kulingana na katiba…

21 February 2025, 12:12 pm

Mwalimu aliyepata ajali na kukatwa miguu aomba msaada wa kitimwendo cha umeme

Na Fredrick Siwale Mwalimu wa shule ya msingi Kinyanambo Silvester Joseph Lyuvale (57) aliyepata ajali na kukatwa miguu yote miwili ameiomba Serikali na Wadau wa maendeleo ili aweze kupata msaada wa Kitimwendo kinachotumia umeme. Akizungumza na Nuru FM Mwl.Silvester anayefundisha…

21 February 2025, 12:08 pm

Mradi wa maji Ruaha Mbuyuni wa mil. 271 kutatua kero ya maji

Na Ayoub Sanga Serikali kupitia wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA imetoa zaidi ya shilingi Millioni 271 kwaajili ya uboreshaji wa mradi wa maji wa Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo,mradi ambao unaenda kuondoa adha ya upatikanaji wa maji…

19 February 2025, 12:24 pm

Tume ya haki za binadamu yatoa elimu kwa wananchi

Na Adelphina Kutika Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Nchini inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na…

19 February 2025, 10:43 am

Wananchi Lupembelwasenga walalamikia ukosefu wa maji

Na Victor Meena Wananchi wa Kitongoji cha Imalinyi kilichopo Kijiji cha Lupembelwasenga Kata ya Lyamgungwe Mkoani Iringa wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji jambo linalohatarisha usalama kwao. Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wananchi wa kijiji hicho…

18 February 2025, 8:54 pm

Waombwa kuwasaidia wenye uhitaji Iringa

Na Joyce Buganda Wadau wa maendeleo mkoani Iringa wametakiwa kuwa na utaratibu wa  kujitoa  na kuwasaidia watu wenye uhitaji na kutowatenga. Hayo yamzungumzwa na msanii kutoka nyanda za juu kusini Ezra Francis maalufu kwa jina la Eze Nice ambae ndiye…

17 February 2025, 10:15 am

Ubovu wa daraja wahatarisha usalama wa wanafunzi Ihongole

Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Ihongole uliopo kata ya Boma Halmashauri ya Mji Mafinga wameiomba serikali iwajengee daraja linalotumiwa na wanafunzi kuelekea shule ya JJ na Nyamalala ili kuwanusuru na hatari ya kusombwa na maji ya mvua. Wakizungumza…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.