Nuru FM
Nuru FM
19 March 2025, 11:24 am
Na Joyce Buganda Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa wamekabidhiwa Bajaji yenye Thamani ya Shilingi Milioni 10.5 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuunga Mkono Juhudi za Wanawake wa Kiislamu Wilayani humo kukuza uchumi.…
17 March 2025, 11:30 am
Na Adelphina Kutika Wajasiliamali Wanawake Mkoani Iringa wamehimizwa kutumia fursa zilizopo kuwekeza katika maeneo yao ili kuongeza upatikanaji wa masoko na huduma za kibiashara ili kukuza uchumi na kuzalisha vyanzo vingi vya ajira hapa nchini. Agizo hilo limetolewa na Mkuu…
14 March 2025, 12:11 pm
Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limewapongeza wakaguzi na askari waliofanya vizuri mwaka 2024 ili kuongeza chachu kwa wengine kufanya kazi kwa nidhamu na weledi Akizumgumza katika hafla hiyo ya kukabidhi vyeti hivyo kamanda wa polisi mkoa…
11 March 2025, 8:50 pm
Na Joyce Buganda Wananchi wa kijiji cha Kidamali kilichopo kata ya Nzihi Halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani Iringa wamelalamikia kero ya miundombinu ya barabara hasa kwenye kipindi hiki cha mvua za masika kuleta madhara ikiwamo kushindwa kusafirisha mazao kuletakatika…
11 March 2025, 12:17 pm
Na Joyce Buganda Vijana mkoani Iringa wametakiwa kutumia mbinu za kisasa za kilimo na usindikaji ikiwemo kutumia virutubisho Ili kiboresha wa mazao na bidhaa wanazozizalisha. Mafunzo hayo yametolewa kwa siku mbili mjini Iringa kwa kushirikiana na viongozi wa Serikali, Shirika…
7 March 2025, 6:36 pm
Na Godfrey Mengele Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James ameitaka Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA pamoja na hifadhi ya wanyamapori Ruaha kuchukua hatua madhubuti ili kudhibiti wanyama wanaovamia na kuharibu mazao, mifugo na kusababisha madhara kwa binadamu…
6 March 2025, 12:47 pm
Na Adelphina Kutika Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan, ameonesha dhamira ya kuleta uwekezaji wa viwanda nchini Tanzania, hasa katika sekta ya kilimo, ili kuongeza fursa za ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Balozi Avetisyan amesema hayo akiwa…
5 March 2025, 10:15 am
Na Adelphina Kutika Wanawake Mkoani Iringa wametakiwa kuacha kukopa mikopo ya kausha damu na badala yake wakope mikopo inayotambulika na Serikali ikiwemo taasisi za fedha ili kupunguza vifo kwa vijana. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Vyombo…
4 March 2025, 10:50 am
Na Frank Leonard CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimekanusha taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa majina matatu yatakayorudishwa kwenye mchakato…
3 March 2025, 11:09 am
Na Fredrick Siwale TUME ya haki za binadamu na Utawala bora Nchini imetoa mafunzo kwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa, wa Halmashauri ya Mafinga Mji na Wilaya ya Mufindi kuhusu haki na Wajibu kwa Wananchi. Akizungumza wakati wa Mafunzo hayo,…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.