Recent posts
7 June 2024, 12:41 pm
One Acre Fund yatoa miti mil 2.6 Nyanda za Juu Kusini
Upandaji na uwepo wa misitu katika jamii zetu unachangia asilimia 47 ya akiba ya hewa ukaa ya misitu duniani na hutoa asilimia 60 ya miti ya mbao inayotumiwa viwandani duniani. Na Joyce Buganda Zaidi ya miti milioni 2 na laki…
7 June 2024, 12:18 pm
Kutokunywa maji chanzo cha ugonjwa wa mawe kwenye figo
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo. Na Mwandishi wetu Jamii wilayani Mufindi imetakiwa kunywa maji mengi na kupunguza matumizi makubwa ya protini ili…
5 June 2024, 12:22 pm
Wananchi Iringa waomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi
Migogoro ya ardhi imetajwa kuwa sababu ya Wananchi Wilaya ya Iringa kutokuwa na maelewano. Na Adelphina Kutika Wananchi wa Tarafa za Idodi na Tarafa ya Kiponzero iliyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameiomba Serikali kutatua changamoto ya Mgogoro…
5 June 2024, 11:33 am
Manispaa ya Iringa kuhuisha usajili wa bajaji
Hatua ya Serikali ya kuweka mfumo mpya wa usajili wa namba za pikipiki na bajaji inalenga kuweka mfumo na utaratibu mzuri wa uratibu wa vyombo hivyo vya usafiri kwa lengo la kuhakikisha usafiri huo unakuwa salama, ikiwa ni pamoja na…
4 June 2024, 10:55 am
Wananchi walalamikia vilabu vya pombe kuzunguka shule ya Mlamke
Shule ya Sekondari Mlamke inakabiliwa na ukosefu wa uzio jambo linalopelekea wanafunzi kupata kero kutokana na uwepo wa vilabu vya pombe pembezoni mwa shule hiyo. Na Adelphina Kutika Wananchi wa kata ya Ilala katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameiomba…
4 June 2024, 10:29 am
Msigwa apinga ushindi wa Sugu Kanda ya Nyasa
Mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa umemuibua aliyekuwa Mgombea wa nafasi hiyo Peter Msigwa akisema haukuwa wa haki. Na Hafidh Ally ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Mch. Peter Msigwa, amekata…
3 June 2024, 9:45 am
RC Serukamba ahimiza usimamizi wa miradi ya maendeleo
Mkoa wa Iringa ni miongoni mwa mikoa iliyoingiziwa fedha za miradi ya maendeleo huku wasimamizi wakitakiwa kusimamia miradi hiyo kwa weledi. Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa wameaswa kusimamia ipasavyo miradi ya maendeleo ili iwe na tija…
27 May 2024, 10:33 am
DC Kheri ahimiza kuongeza nguvu katika malezi ya watoto
Wazazi wameshauriwa kutenga muda wa kukaa na watoto wao na kujenga mahusiano mazuri ya kirafiki na ya ukaribu ili kuwaweka karibu watoto na kuwafanya wawajue wazazi wao vizuri. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kheri James amewahimiza wananchi…
24 May 2024, 1:49 pm
Shirika la SOS kuweka usawa malezi na makuzi ya Mtoto Iringa
Malezi na makuzi Bora kwa mtoto imetajwa kuwa sababu inayopelekea kuongeza kujiamini kwa watoto Mkoani Iringa Na Joyce Buganda Shirika la SOS children’s villagers wamefanya kikao cha kujadili na kushawishi ongezeko la bajeti katika shuhuli za ulinzi wa mtoto huku…
23 May 2024, 12:27 pm
TCCIA yaiomba TRA kuwapunguzia wafanyabiashara kodi
Licha ya wafanyabiashara kufanya kazi zao kwa mazignira rafiki Bado kumekuwa na changamoto ya kukadiriwa Kodi kubwa. Na Joyce Buganda Wafanyabiashara mkoani Iringa wameilalamikia mamlaka ya mapato Tanzania TRA kuwatoza kodi kubwa hasa wanaposafirisha bidhaa zao kutoka mikoa ya jirani.…