Nuru FM
Nuru FM
18 April 2022, 9:06 am
Makundi maalum ya Wajane, Wagane, Yatima, Wazee na Watu wasiojiweza wametakiwa kujitokeza na kuhesabiwa siku ya zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Ili kuisaidia Serikali kupata takwimu sahihi zitakazotumika katika kupanga mipango ya maendeleo. Rai hiyo imetolewa na…
18 April 2022, 9:00 am
UJENZI wa Ofisi ya Kanda ya Kati ya Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) ambao umebuniwa na unajengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Jijini Dodoma, kwa sasa umefikia asilimia 50 katika ujenzi ambapo Meneja wa Mradi huo, Mhandisi Mshauri Mtogomi…
9 April 2022, 7:41 am
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limesisitiza umuhimu wa wavuvi kuzingatia usalama ikiwemo kuwataka kuacha kufanya kazi kwa mazoea wanapokuwa katika shughuli za Uvuvi wawapo majini ili kuwaepusha na vifo,majeruhi na kupoteza mali. Huku wakisisitiziwa umuhimu wa kuwa na…
9 April 2022, 7:32 am
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) imeweza kutoa jumla ya vyeti na leseni mia mbili kumi na moja (211) na Kati ya hizo, leseni na vyeti mia moja kumi na tano (115) sawa na (55%) vilitolewa kwa wajasiriamali wadogo. Aidha Shirika…
6 April 2022, 9:22 am
Serikali imesema wiki ijayo itatangaza nafasi za ajira 32,000 katika sekta ambazo zina upungufu mkubwa wa watumishi. Ahadi hiyo imetolewa Bungeni leo Jumatano Aprili 6, 2022 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama ambapo…
6 April 2022, 6:34 am
Imeelezwa kuwa kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi kwa wanawake hupelekea kushindwa kupata ujauzito na kupata maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Tiba asili kilichopo Chalinze Mkoani Pwani cha Ilham…
6 April 2022, 6:29 am
Serikali kupitia Wizara ya Kilimona Umwagiliaji imetoa kipaumbele kwenye miradi ya umwagiliaji iliyopo Mkoani iringa ili wananchi waweze kulima kilimo cha biashara. Hayo yamezungumzwa Jijini Dodoma na Naibu waziri wa Kilimo na Umwagiliaji Antony Mavunde aalipokuwa ajibu swali la Mbunge…
5 April 2022, 9:11 am
Wizara ya Afya leo imepokea vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya shilingi 203,550,000 kutoka Shirika la USAID kwa kushirikiana na JHPIEGO kupitia mradi wake wa Momentum Challenge Global Leadership (MCGL). Akiongea wakati wa hafla hiyo Katibu Mkuu wa Wizara hiyo…
5 April 2022, 9:08 am
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshuhudia utiaji Saini Mkataba wa Utafiti wa Gesi ya Heliam kati ya Kampuni ya Noble Helium Limited kupitia Kampuni yake Tanzu ya Rocket Tanzania Limited na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa…
5 April 2022, 8:20 am
Sh93.1 bilioni zimetumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Iringa ikiwemo ujenzi wa barabara ya Kihesa Kilolo – Igumbilo itakayosaidia kupunguza msongamano wa magari mjini. Kwa sasa magari yote yanapita katikati ya mji na kusababisha msongamano mkubwa kutokana na ukosefu…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.