Nuru FM
Nuru FM
18 May 2022, 4:23 pm
Ofisi ya Katibu Tawala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa imepokea wazo la Balozi wa Utalii Nchini Isabella Mwampamba kuwajengea nyumba ya kisasa walemavu watatu wa kijiji cha Lulanzi ili waweze kuwa na makazi bora. Akizungumza katika ofisi yake…
15 May 2022, 1:08 pm
Mkemia Mkuu wa Serikali Daktari Fidelis Mafumiko ameionya jamii kuepuka ununuzi na matumizi holela ya dawa zisozosajiliwa wala kuthibitishwa na mamlaka husika ikiwemo kuangalia aina za viambata au kemikali zilizotumika katika kutengeneza dawa hizo. Dk. Mafumiko ameyasema hayo alipotembea banda…
15 May 2022, 1:05 pm
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amemwagiza Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Singida kutoa elimu kuhusu Sheria ya Madini kwa wachimbaji wadogo wa madini ili waendeshe shughuli zao kwa kufuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Madini. Dkt. Kiruswa ametoa…
15 May 2022, 1:02 pm
Siku ya leo mei 15 na Mei 16 huenda likatokea tukio la kupatwa kwa mwezi kwa mujibu wa utafiti wa NASA, ambapo mwezi utakua karibu na Dunia na utaonekana kwa ukubwa zaidi ukiwa na rangi nyekundu. Kwa mujibu wa…
14 May 2022, 9:07 am
Wananchi wa kijiji cha lulanzi Wilaya ya Kilolo wamekamilisha kuchimba Mfereji wa kupeleka huduma ya maji ya bomba katika familia ya watu watatu wenye ulemavu. Akizungumza na Nuru fm mara baada ya kukamilisha kuchimba mfereji huo Mwenyekiti wa kijiji hicho…
14 May 2022, 8:32 am
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha wanatoa haki wakati wa kutekeleza majukumu yao kwa wananchi. Alisema, utoaji haki uko katika sura tofauti kuanzia zoezi la utoaji hati,…
14 May 2022, 8:25 am
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na Jeshi la Uhifadhi Wanyamapori (Tawa) kanda ya kusini, limewakamata watu watatu wakazi wa wilaya ya Tunduru wakiwa na meno tisa na vipande vinane vya meno ya Tembo. Kamanda wa Polisi mkoani humo…
14 May 2022, 8:21 am
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Watumishi wa Umma waliohitimu mafunzo ya uongozi katika Taasisi ya UONGOZI kuhakikisha wanaitumia vizuri elimu waliyoipata katika kusimamia rasilimaliwatu na rasilimali fedha kwa…
12 May 2022, 7:53 am
Hatimaye familia ya watu watatu wenye ulemavu iliyopo kijiji cha Lulanzi Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa imeanza kujengewa nyumba ya kisasa. Akizungumza mara baada ya kuanza kwa ujenzi huo katika hatua ya msingi, Balozi wa Utalii Nchini Isabella Mwampamba ambaye…
12 May 2022, 7:07 am
Kamati Kuu ya CHADEMA imepiga kura na kuwafukuza wanachama 19 wanawake waliokuwa wanashutumiwa kwa utovu wa nidhamu kwa kosa la kuapishwa kuwa wabunge bila ruhusa ya chama chao. Kikao hicho ambacho kimechukua muda mrefu baada ya mkutano wa Baraza Kuu…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.