Nuru FM
Nuru FM
4 February 2023, 2:04 pm
Sikiliza Taarifa ya habari zilizosomwa Katika Kituo cha Redio Nuru Fm iliyopo Mkoani Iringa
4 February 2023, 1:07 pm
Chakula kikiwepo shuleni kinasaidia kuondoa mazingira magumu kwa watoto na kupelekea wawe na utulivu wakati wa masomo na kukuza taaluma. Na Ashura Godwin Wazazi na Walezi mkoani iringa wametakiwa kuendelea kuchangia fedha kwa ajili ya chakula shuleni ili kuondoa mazingira…
4 February 2023, 10:35 am
Nendeni Mkawe mstari wa mbele kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi wenu ili kumrahisishia kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Joyce Buganda Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Linda Selekwa …
3 February 2023, 2:47 pm
Wanawake na Vijana wanatakiwa wapate elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri ili wafanye marejesho kwa wakati. Na Ansigary Kimendo Kutokuwepo kwa elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri imetajwa kuwa chanzo…
2 February 2023, 3:07 pm
Serikali itupatie usaidizi wa namna ya kuwahudumia watoto wenye ulemavu Pindi wawapo shuleni kimasomo. Na Fabiola Bosco Wazazi wenye watoto walio na ulemavu Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwapa usaidizi wa namna ya kuwahudumia watoto wao pindi wawapo…
31 January 2023, 12:02 pm
Askari waliotunukiwa vyeti vya utendaji kazi bora wamehimizwa kuwa wazalendo za kuzingatia haki pindi wanapotekeleza majukumu yao. Na Elizabeth Shirima Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP. Allan L. Bukumbi amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 12 na mtumishi raia…
31 January 2023, 8:16 am
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango
30 January 2023, 9:28 am
Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari vilivyopo chini ya Mtandao wa Redio Jamii Tanzania TADIO wameanza mafunzo ya namna ya kuandaa kuhariri na kuzituma habari kupitia tovuti ya mtandao huo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyoanza Jan…
30 January 2023, 7:00 am
Shirika la ndege la KLM limetoa ufafanuzi na kuomba radhi juu ya kusitisha safari zake za ndege kuja Tanzania pamoja na kutoa taarifa ya uwepo wa machafuko Nchini. Kupitia barua ya Meneja wa Air France-KLM Tanzania, kwa Waziri wa Ujenzi…
30 January 2023, 6:49 am
Na Jamson Kigaile Mwanachama wa Simba SC Murtaza Mangungu amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kupitia Mkutano Mkuu wa Uchaguzi 2023. Mkutano huo ulianza jana Jumapili (Januari 29) na kumalizika leo Jumatatu (Januari…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.