Nuru FM

Recent posts

22 November 2022, 5:58 am

Bodi ya Mikopo HESLB yaongeza bajeti ya Mikopo Elimu ya juu

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Abdul-Razaq Badru amesema wameongeza bajeti ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kwa asilimia 14.7 ambalo limefikia Shilingi 654 bilioni kutoka Shilingi 570 bilioni za awali. Badru ameyasema…

17 November 2022, 5:31 am

Asilimia 70 Ya Magonjwa Ya Milipuko Yanatokana Na Uchafu

Imeelezwa kuwa udhibiti wa usafi binafsi na wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia 70 ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo Kipindupindu. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Dkt. Beatrice Mutayoba mara baada ya kufanya usafi…

13 November 2022, 11:24 am

Bodi Ya Mikopo Yafungua Dirisha La Rufaa Kwa Siku Saba

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Novemba 13, 2022) imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la rufaa ili kutoa fursa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa…

13 November 2022, 11:22 am

DC aagiza wazazi 191 wakamatwe

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Jamhuri William ameagiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi 191 ambao hawajafanya mtihani wa kidato cha pili kutokana na utoro, ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Msako huo wa nyumba kwa nyumba utaenda sambamba…

13 November 2022, 11:20 am

Watahiniwa 566,840 kuanza mtihani kidato cha nne kesho

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limesema jumla ya watahiniwa 566, 840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne, utakaoanza kesho Jumatatu katika shule za Tanzania Bara na Zanzibar. Limesema kati yao watahiniwa 533,001 ni shule na 31, 839 wa kujitegemea…

12 November 2022, 8:04 am

Mkoa Wa Iringa Kuweka Mkakati Maalum Kuunusuru Mto Ruaha

KAMISHNA Msaidizi wa Uhifadhi,Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Ruaha Godwell Ole Meing’ataki  amesema  mto Ruaha mkuu (Great Ruaha)hautirishi maji kama ambavyo ilivyokuwa miaka ya nyuma na kusababisha madhara makubwa ya wanyama pori waliopo katika hifadhi hiyo.   Akizungumza na waandishi Kamishna…

11 November 2022, 5:24 am

Kauli ya Nape malalamiko ya kupunjwa ‘bando’

Waziri wa Mawasiliano Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape amesema wizara yake imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuwaita watoa huduma baada ya kutokea sintofahamu ya bei ya vifurushi. Spika Dk Tulia Ackson amemtaka Waziri huyo kufafanua uwepo wa utata…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.