Nuru FM

Recent posts

4 July 2022, 3:49 pm

Azam Fc Yamsajili Sopu Mfungaji Bora Wa ASFC

KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumsajili Mfungaji Bora wa Azam Sports Federation Cup (ASFC), Abdul Hamisi Suleiman ‘Sopu’ kutoka Coastal Union kwa mkataba wa miaka mitatu. Sopu anakuwa mchezaji mpya wa nne na wa…

4 July 2022, 3:44 pm

Sababu Za BM Kusaini Yanga Na Kuikacha Simba

KIUNGO wa zamani wa Simba,Bernard Morrison ameweka wazi kuwa ambacho anakipenda na atakikumbuka kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba ni upendo hivyo anaomba uendelee daima. Kwa sasa kiungo huyo amerejea ndani ya Yanga aliyokuwa akiichezea zamani kabla ya kuwafunga…

4 July 2022, 3:40 pm

uchaguzi yanga warudishwa nyuma siku moja

KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imeitudisha nyuma kwa siku moja Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kutoka Julai 10 hadi 9, mwaka huu. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Mchungahela amesema sababu za kurudisha nyuma uchaguzi huo ni kupisha…

24 June 2022, 8:00 am

COSTECH Yafadhili Mradi Wa Unenepeshaji Ng’ombe Nchini.

TUME ya Taifa Sayansi na Teknolojia ( COSTECH), imetoa zaidi ya sh milioni 400 kwa ajili ya Miradi miwili mojawapo ukiwa wa Uandaaji wa Lishe Bora ya Gharama Nafuu kwa Unenepeshaji Ng’ombe nchini. Aidha Mradi mwingine ni ukarabati wa maabara…

20 June 2022, 11:53 am

Shirika La COMPASSION Lapongezwa Kwa Kuwezesha Vijana Kiuchumi

SHIRIKA la kidini la Compassion International Tanzania limepongezwa kwa jitihada zake nzuri za kusaidia watoto na vijana walio na umri chini ya miaka 18 kiroho na kimwili ikiwemo kuwapa ujuzi utakaowasaidia kujikwamua kiuchumi. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt…

19 June 2022, 4:55 pm

Maagizo sita ya Waziri Mkuu Majaliwa kuhusu anuani za makazi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka taasisi zote zenye dhamana ya masuala ya ardhi na makazi kuhakikisha zinaleta mikakati thabiti ya kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi iliyoainishwa wakati wa utekelezaji wa zoezi la operesheni ya anwani za makazi. Ametoa wito…

19 June 2022, 4:51 pm

DRC yafunga mipaka yake na Rwanda

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC), imefunga mipaka yake yote na Rwanda huku hali ya mvutano kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kuongezeka kufuatia madai ya Rwanda kuunga mkono waasi wa M23 wanaopigana na jeshi la DRC. Mbali…