Nuru FM

Recent posts

10 December 2024, 12:31 pm

Wanaume Iringa walalamikia kupigwa na wake, kuwekewa limbwata

Na Mwandishi wetu Wanaume kutoka Kijiji cha Igangidung’u Kata ya Kihanga wilayani Iringa wameeleza namna ambavyo wanafanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwa kupewa dawa za kuwapumbaza akili zikifahamika kwa jina la ‘limbwata’ sambamba na kukutana na vipigo kutoka kwa wake zao.…

9 December 2024, 11:02 am

Magari 45 yakutwa na makosa mbalimbali Iringa

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na timu maalum kutoka Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu limefanya ukaguzi wa vyombo vya moto ambapo jumla ya magari 45 yamekutwa na makosa mbalimbali. Akizungumza kwenye operesheni hiyo…

7 December 2024, 10:40 am

Mwili wa mchungaji aliyedai akifa atafufuka wazikwa mkoani Iringa

Na Mwandishi wetu Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida, ambaye mwili wake ulihifadhiwa ndani ya nyumba kwa miezi miwili tangu alipofariki dunia ikisubiriwa kuwa angefufuka, umezikwa. Mwili wa Chida (47), umezikwa katika makaburi ya Mlolo, Manispaa ya Iringa…

5 December 2024, 8:55 am

Mchungaji aliyedai akifa atafufuka mwili wake wakutwa umeoza

Na Godfrey Mengele Hali ya kustaajabisha imetokea katika kijiji cha Isakalilo kilichopo kata ya Kalenga mkoani Iringa umekutwa mwili wa Mchungaji wa Kanisa la Huruma Mch John Wilson Chiba aliyefariki dunia tangu mwanzoni mwa mwezi wa Oktoba 2024 huku kukiwa…

4 December 2024, 12:03 pm

Skimu ya umwagiliaji Tarafa ya Pawaga kuongeza uzalishaji wa mpunga

Na Adelphina Kutika Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi wenye thamani ya shilingi bilioni 55 uliopo Tarafa ya Pawaga wilaya ya iringa unatarajia kuongeza uzalishaji wa mpunga na kuinua uchumi wa Kata za Itunundu na Mboliboli. Hayo ameyasema Mhandisi…

4 December 2024, 11:09 am

Maambukizi ya VVU Iringa yapungua kutoka 11.3 mpaka 11.1%

Na Hafidh Ally Maambukizi ya Ukimwi Mkoa wa Iringa maambukizi ya virusi vya ukimwi mkoa wa iringa yapungua kutoka 11.3% mpaka 11.1% kwa mwaka 2020- 2023. Hayo yamezungumzwa na Mratibu wa huduma za kudhibiti Ukimwi Mkoa wa Iringa Prizantus Ngongi…

3 December 2024, 8:43 am

Vijana Iringa waaswa kuacha kubeti

Na Halima, Aisha, Zahara na Shahanazi Viongozi wa dini mkoani Iringa wamewaasa vijana kuacha kujihusisha na shughuli zisizo halali kama michezo ya kubashiri na Kamari na badala yake kufanya shughuli zingine halali za kujiingizia kipato . Hayo yamezungumzwa na  Mchungaji…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.