Nuru FM

Recent posts

15 June 2023, 11:22 am

Wafanyabiashara Iringa wagoma kufungua maduka

Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara mjini Iringa wamesitisha kutoa huduma za uuzaji wa bidhaa kwa kufunga maduka yote baada ya kuvunjwa kwa vibaraza vya nje ya maduka yao vinavyotumika kupanga bidhaa. Zoezi hilo la uvunjwaji wa vibaraza hivyo limekuja baada ya…

13 June 2023, 3:33 pm

Jamii yatakiwa kufufua ndoto za wenye ulemavu Iringa

Na Frank Leonard Wadau wa mtoto mkoani Iringa wameilaumu jamii wakisema ndiyo inayotengeneza mazingira ya watoto wenye ulemavu kutojiweza na kukosa fursa za maisha yaliyo jumuishi. Lawama hizo walizosema zinapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa ili kuleta suluhisho ya changamoto za…

12 June 2023, 11:42 am

Majina wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo yatangazwa

Na mwandishi wetu Wanafunzi 188,128 waliokidhi vigezo wamechaguliwa na kupangiwa kujiunga na kidato cha tano katika shule mbalimbali nchini pamoja na vyuo vya fani mbalimbali. Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022 yanaonesha kuwa watahiniwa 192,348 walipata ufaulu…

9 June 2023, 7:52 pm

Mafinga washinda tuzo saba mashindano UMISETA

Na Frank Leonard Halmashauri ya mji Mafinga imeshinda vikombe saba kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari (UMISSETA) ngazi ya mkoa. Mashindano hayo yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya JJ Mungai ya mjini…

8 June 2023, 11:09 am

Kabati awasilisha bungeni changamoto ukosefu maji Ng’ang’ange

Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati ameibana serikali kujua wana mpango gani wa kupeleka huduma ya maji katika kata ya Ng’ang’ange iliyopo wilaya ya Kilolo. Kabati ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha…

6 June 2023, 9:32 pm

Polisi Iringa yawadaka watuhumiwa ubakaji mwanachuo

Na Frank Leonard Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limewakamata watuhumiwa watano wa unyang’anyi kwa tumia silaha ambao kati yao wawili wametambuliwa kuhusika katika tukio la ubakaji alilofanyiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (jina linahifadhiwa) wakati wakifanya uharifu chuoni…

30 May 2023, 9:35 am

Kabati aipongeza serikali kwa kuandaa mazingira mazuri mikopo 10%

Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Ritta Kabati ameipongeza serikali kwa kuweka mkakati madhubuti wa utoaji fedha asilimia 10 katika halmashauri nchini. Kabati ametoa pongezi hizo katika kongamano la wajane wa mkoa wa Iringa lililoandaliwa na…

29 May 2023, 5:52 pm

Samia, Chongolo wazawadiwa ng’ombe Mufindi Kusini

Na Mwandishi wetu Mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti Wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania David Kihenzile amekabidhi zawadi ya ng’ombe kwa ajili ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassan. Hata hivyo amekabidhi pia ng’ombe wa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.