Nuru FM
Nuru FM
18 November 2024, 7:44 pm
Na Dorice Olambo Ili kupunguza changamoto za upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya uzazi na maendeleo kwa vijana Shirika la DSW limetambulisha mradi wa Reproductive Equity Strategy in Tanzania (REST) Mkoani Iringa. Akizungumza mara baada ya uzinduzi wa mradi…
14 November 2024, 9:31 am
Na Shaffih Kiduka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa pole na kulaani vikali mauaji ya Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Bi. Christina Kibiki (56) ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Akizungumza…
14 November 2024, 9:22 am
Na Adelphina Kutika Serikali mkoani Iringa imesema itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu pamoja na kutoa ushirikiano kwa dini zote. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James katika mahafali ya kwanza ya kuwatunukia wahitimu 14 wa Stashahada,…
12 November 2024, 1:11 pm
Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kijiji cha Ugenza Kata ya Ikweha Mufindi Kaskazini wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa serikali za Mitaa Nov 27 mwaka huu. RAI hiyo imetolewa Shalom Robert aliyekuwa mgeni wa heshimu katika…
8 November 2024, 9:48 pm
Na Fredrick Siwale Wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mafinga Mkoani Iringa wanatarajia kunufaika na Mradi wa Maji ya kisima kilichochimbwa na shirika la Water for Afrika. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa kamati ya Shule ya Msingi Mafinga Bi.Sifa…
8 November 2024, 11:35 am
Na Hafidh Ally Serikali inatarajia kufanya Utafiti wa Kilimo, uvuvi na ufugaji Ili kuendana na Milengo ya Milenia ya Maendeleo endelevu ya kupambana na Njaa kabla ya mwaka 2030. Hayo yamezungumzwa na Kamisaa wa sensa ya watu na makazi Bi.…
6 November 2024, 10:01 am
Na Furahin Kahise Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimewapongeza walimu wazalendo wa CCM mkoani hapa kwa kufanya kazi kwa ukaribu na chama hicho katika utekelekezaji wa shughuli za kijamii. Hayo yamezungumzwa na Katibu wa Siasa Itikadi Uenezi na…
5 November 2024, 11:15 am
Na Fredrick Siwale Vijana Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi na Maendeleo katika Sekta ya Kilimo kufuatia serikali kutoa zaidi ya Milioni 500 katika sekta hiyo. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa…
1 November 2024, 10:36 am
Na Adelphina Kutika Wananchi wa Kitongoji cha Itemela na Mpilipili, kata ya Nyazwa, wilayani Kilolo, mkoani Iringa, wamehimizwa kutunza miundombinu ya umeme iliyozinduliwa katika kijiji chao. Akizungumza baada ya hafla ya uzinduzi wa umeme na utoaji elimu, Meneja wa Tanesco…
1 November 2024, 10:23 am
Na Hafidh Ally na Godfrey Mengele Jumla ya wagonjwa 170 wamepokelewa na kutibiwa katika kambi ya madaktari bingwa wa samia awamu ya pili kwenye hospitali ya wilaya ya frelimo. Hayo yamezungumzwa wakati wa ziara ya mkuu wa wilaya kheri james …
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.