Nuru FM

Recent posts

5 January 2024, 7:26 am

Wakulima Iringa, Morogoro kunufaika na Mpango wa CCROs kutoka TAGRODE

Na Adelphina Kutika Wakulima wadogowadogo na wafugaji kutoka vijiji vinne vya mikoa ya Iringa na Morogoro wanaenda kunufaika na mipango wa matumizi bora ya ardhi na hatimiliki za kilmila (CCROs) baada la Shirika la Tanzania Grassroots Oriented Development (TAGRODE) la…

2 December 2023, 8:32 pm

Bodi ya Utalii Kanda ya Kusini kufanya royal tour Christmas

Na Hafidh Ally BODI YA UTALII KANDA YA KUSINI KUFANYA ROYAL TOUR CHRISTMAS MBUGANI. Bodi ya Utalii Tanzania, Ofisi ya kanda ya Kusini kwa kushirikiana na wadau wa Utalii imeanza kampeni yake maalumu ya kuhamasisha utalii wa ndani iliyopewa jina…

1 December 2023, 9:09 pm

Wakurugenzi waaswa kutekeleza afua za mapambano dhidi ya Ukimwi

Na Adelphina Kutika Wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani Iringa pamoja na wadau wa maendeleo wanaoshughulikia masuala ya Ukimwi chini ya programu ya PEPFAR kuelekeza fedha kwenye shughuli za utekelezaji wa afua za mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi. Agizo hilo…

29 November 2023, 9:46 am

Bajaj zinazopita njia tofauti kutozwa faini ya laki 2 Iringa

Na Frank Leonard Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Kastori Msigala ameliomba Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo kurudisha faini ya Sh 200,000 kwa bajaji zinazopita njia zilizozuiliwa. Kwa sasa bajaji zinazokamatwa kwa makosa hayo, wamiliki wake wanatozwa faini…

29 November 2023, 9:15 am

Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana Iringa-Makala

Vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi iringa waiomba serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kupata elimu na huduma ya afya ya uzazi ili kuwawezesha kujikinga na magonjwa ya zinaa. Undani wa taarifa hii sikiliza makala ifuatayo

28 November 2023, 7:10 pm

Mtazamo hasi wapelekea wanawake kushindwa kununua kondom

Na Mwandishi wetu Mitazamo tofauti imekuwa ikijitokeza kwenye jamii zetu juu ya suala zima la mwanamke kununua kinga (kondomu) moja kati ya mitazamo hiyo ni kuona au kumchukulia mwanamke anayeenda kununua kinga kama moja kati ya wanawake ambao hawajatulia kwenye…

24 November 2023, 3:11 pm

Polisi Iringa wafanya mdahalo wa ulinzi na usalama kwa wanahabari

Na Adelphina Kutika Waandishi wa habari mkoani Iringa wametakiwa kuzingatia sheria za utoaji wa habari ili kuimarisha mahusiano mazuri baina ya vyombo vya habari na Jeshi la Polisi  katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa…

22 November 2023, 8:06 am

Ridhiwani aagiza watendaji waliojitolea Iringa kuajiriwa

Na Hafidh Ally Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuwaajiri watendaji waliokuwa wakijitolea Katika nafasi zilizotangazwa hivi karibuni. Mh. Kikwete ameyasema hayo…