Nuru FM

Recent posts

1 March 2024, 12:13 pm

Mradi wa SLR waanza kuleta matokeo Iringa

Na Frank Leornad WANANCHI waliofikiwa na Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai (SLR) unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais wameanza kuitumia elimu wanayopatiwa katika mashamba darasa wilayani Iringa, kuifanya kuwa endelevu ili kuwakwamua kiuchumi. Baadhi…

29 February 2024, 9:26 pm

Rais Samia atangaza kifo cha Mwinyi

Na Mwandishi wetu. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari, 2024 saa 11:30 jioni katika hospitaliya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu. Rais wa…

29 February 2024, 9:11 pm

MMMAM yataka malezi bora kwa watoto

Na Joyce Buganda Wadau wa watoto wilayani Mufindi mkoani Iringa wametakiwa kufuatilia kwa ukaribu malezi, afya na makuzi ya watoto wanayoelekezwa na wataalam. Akizungumza katika ufunguzi wa Program Jjumuishi ya Taifa ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya Mtoto PJT…

28 February 2024, 9:37 am

Madiwani Iringa waomba kondomu

Na Hafidh Ally Ongezeko la uzalishaji wa pombe ya kienyeji aina ya ulanzi na mahusiano yake na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) limewaibua baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iringa wakitaka usambazaji wa kondomu katika vilabu vinavyouza…

28 February 2024, 9:32 am

Mafinga Mji kupambana na utapiamlo

Na Hafidh Ally Halmashauri ya Mji Mafinga imeweka mkakati wa kupambana na Utapiamlo kwa kuhakikisha Chakula kinatolewa shuleni. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshima Dkt. Linda Salekwa kwenye kikao cha Tathmini ya Mkataba wa Lishe ngazi…

28 February 2024, 8:56 am

Miradi ya fedha iwahusishe wananchi

Na Joyce Buganda Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iringa wametakiwa kushirikiana na watendaji kusimamia vizuri fedha za maendeleo zinazoletwa katika maeneo yao na serikali. Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Iringa Bashir Mhoja…

27 February 2024, 9:36 pm

Serikali kudhibiti mfumko wa bei

Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mfumko wa bei nchini umeendelea kudhibitiwa ambapo kwa kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2023 ulifikia wastani wa asilimia 3.2, kiwango ambacho kipo ndani ya lengo la kati ya asilimia…

23 February 2024, 10:27 am

TASAF wapewa wiki mbili kuwalipa wanufaika wa mpango huo

Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameupa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) hadi Machi 5, mwaka huu uwe umelipa malimbikizo yote yanayodaiwa na walengwa wa mpango…

23 February 2024, 9:50 am

Lyra in Afrika wakabidhi bweni na kompyuta shule ya Mseke

Na Godfrey Mengele Shilingi million 246 zimetumika katika ujenzi wa bweni la wasichana katika shule ya sekondari Mseke iliyopo kata ya Masaka halmashauri ya wilaya ya Iringa ili kupunguza adha ya wanafunzi wa kike kutembea umbali mrefu. Akizungumza katika hafla…