Nuru FM
Nuru FM
9 February 2025, 1:27 pm
Na Mwandishi wetu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga. Akizungumza wakati wa kukabidhi…
5 February 2025, 12:08 pm
Na Fredrick Siwale Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka imeonyesha kupaa katika ukusanyaji wa mapato kutoka katika vyanzo vyake mbali mbali vya mapato na kukusanya milioni 170 kwa wiki. Awali akifunga Baraza hilo…
5 February 2025, 11:48 am
Na Joyce Buganda Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya sheria yaliofanyika katika viwanja ya…
4 February 2025, 9:33 am
Na Hafidh Ally Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa imeomba kupatiwa Bilioni 11.7 kwa ajili ya matengenezo ya barabara korofi katika jamii. Hayo yamezungumzwa na Meneja wa Wakala wa barabara vijijini (TARURA) Wilaya ya Mufindi Mhandisi Richard Sanga wakatia akitoa…
1 February 2025, 9:47 am
Na Hafidh Ally Halmshauri ya Mafinga Mji Mkoani Iringa imepitisha jumla ya shilingi Bilioni 31.5 katika Bajeti ya Mwaka wa fedha 2025/2026. Akiwasilisha rasimu ya Mpango wa Bajeti ya 2025/2026 katika Baraza Madiwani, Afisa Mipango Halmashauri ya Mji Mafinga, Peter…
30 January 2025, 1:43 pm
Na Joyce Buganda Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) limegawa mbegu za maharage lishe katika shule za msingi na Sekondari Halmashauri ya Manispaa ya Iringa huku lengo ni kuhamasisha kilimo cha mazao lishe na kupambana na tatizo la…
30 January 2025, 10:00 am
Na Hafidh Ally Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kimesema kuwa sababu ya mkutano Mkuu wa CCM Taifa Kupendekeza Jina la Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee katika nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao ni utekelezaji wa…
28 January 2025, 3:16 pm
Na Hafidh Ally Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa Takukuru Mkoa wa Iringa imebaini kasoro katika mradi wa maji wenye thamani ya Bilioni 1.5 fedha za Mfuko wa Maji wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Takukuru Mkoa…
23 January 2025, 11:50 am
Na Joyce Buganda Wadau wa Mazingira na utalii wametakiwa kuwa mabalozi kwa kutunza vivutio vya asili ili jamii inayowazunguka iige mfano kutoka kwao Akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili iliofanyika katika ukumbi wa hotel ya Sunset Iringa mjini Mkuu…
23 January 2025, 11:26 am
Na Cleef Mlelwa Wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mjini Makambako wamemtaka Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhakikisha wanajenga ofisi zake na kuwa tumaini kwa wananchi kwa kuzisemea changamoto zinazoikabili jamii hasa katika sekta ya afya,elimu na kilimo. Wakizungumza…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.