Nuru FM
Nuru FM
18 May 2025, 7:46 pm
Na Adelphina Kutika ZAIDI ya vijana 120 kutoka kata 18 za Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanatarajia kunufaika na mradi wa uendelezaji wa ujuzi wa kujiajiri kupitia usindikaji wa bidhaa za chakula. Hayo yameelezwa katika hafla ya ufunguzi wa mradi…
6 May 2025, 9:09 pm
Na Adelphina Kutika Jeshi la polisi mkoni Iringa linamshikilia Joseph Yustino Mhilila mkazi wa mtaa wa Lukosi Kata ya Mtwivila kwa tuhuma za kumuua mtoto wake timotheo Mhulikwa (6) aliyepotea tangu tarehe 1 mwezi wa nne 2025. Akizungumza na Nuru…
22 April 2025, 12:27 pm
Na Adelphina Kutika Jukwaa la Wanawake Mawakili na Wanasheria “Wowen Inspire Women” (WIW) linalaani vikali tukio la udhalilishaji lililofanywa na kundi la wanafunzi wa kike dhidi ya mwanafunzi mwenzao wa kike kama lilivyoonekana kupitia picha mjongeo iliyosambaa kwenye mitandao ya…
22 April 2025, 12:01 pm
Na Fredrick Siwale Mkuu Wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amewataka Wananchi kuwa waangalifu na kuzingatia usalama wao wanapoelekea kwenye shughuli za kujitafutia kipato, ikiwemo kuepuka kusafiri kwenye vyombo visivyokidhi vigezo vya usafiri salama. Dkt. Salekwa ameyasema hayo wakati…
18 April 2025, 5:10 pm
Na Joyce Buganda Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo TCCIA imeandaa maonesho ya Biashara, viwanda na kilimo yatakayofanyika Wilayani Kilolo Mkoani Iringa kuanzia Mei 21 hadi Mei 25, 2025 yakilenga kuwapatia nafasi wahusika wa sekta hizo kuonesha shughuli wanazozifanya ili…
17 April 2025, 6:48 pm
Na Hafidh Ally Wakili Moses Ambindwile amefanikiwa kutetea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Kanda ya Iringa kwa kupata Kura zote 45 katika uchaguzi uliofanyika leo Kwenye ukumbi wa siasa ni kilimo Manispaa ya Iringa. Katika Uchaguzi…
17 April 2025, 11:18 am
Na Zaitun Mustapha na Catherine Soko Vijana mkoani Iringa wameshauriwa kuwa na mwamko wa kusoma vitabu mbalimbali ili kuweza kukua kiakili, kongeza ufahamu na maarifa. Hayo yamezungumzwa na baadhi ya vijana Manispaa ya Iringa ambapo wameelezea ni kwa namna gani …
16 April 2025, 11:04 am
Na Geaz Mkata na Rogasia Kipangula Wafanyabiashara wa Mchele Manispaa ya Iringa wamesema kuwa Bei ya Mchele imepanda kuanzia shilingi 2000 mpaka shilingi 3200 kwa kilo moja. Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wafanyabiashara wa bidhaa hiyo wamesema kuwa bei…
16 April 2025, 9:51 am
Na Joyce Buganda Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wametakiwa kujifunza lugha ya kichina kwani kupitia lugha hiyo wanaweza kupata fursa mbalimbali ikiwemo ufadhiri katika masomo yao. Akizungumza katika mashindano ya taranta za kichina ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yaliofanyika …
15 April 2025, 11:50 am
Na Adelphina Kutika Katika juhudi za kuimarisha ustawi wa vijana na kuwawezesha kiuchumi na kiafya, Shirika la SOS Children’s Villages limezindua rasmi Mradi wa Uwezeshaji wa Vijana katika Hafua za Afya ya Uzazi na Uchumi Endelevu mkoani Iringa chini ya…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.