Nuru FM
Nuru FM
10 June 2025, 11:26 am
Kutokana na uwepo wa baridi kali katika baadhi ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wananchi wameaswa kuchukua hatua za kiafya ili kuepuka magonjwa yanayosababishwa na hali hiyo. Na Zaitun Mustapha Na Catherine Soko Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kuchukua tahadhari…
8 June 2025, 5:35 pm
LATRA imesema kuwa Mchakato wa kupata leseni kwa madereva ni mwepesi hivyo wachangamkie fursa ya kupata leseni za usafirishaji. Na Godfrey Mengele Madereva pikipiki na bajaji Mkoa wa Iringa wametakiwa kukata leseni za usafirishaji kwa hiyari kabla ya hatua kuchukuliwa…
6 June 2025, 12:09 pm
Hatua hiyo imejiri baada ya takwimu kuonesha kuwa mkoa wa Iringa ulikuwa na changamoto ya Udumavu kwa 56.9 kwa mwaka 2022 jambo lililopekekea kutekeleza afua mbalimbali za lishe katika jamii. Na Hafidh Ally Katika kukabiliana na changamoto ya Udumavu Mkoani…
5 June 2025, 6:14 pm
Madaktari Bingwa wa Samia wametajwa kuwa msaada kwa wananchi Wilaya ya Mufindi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata matibabu. Na Ayoub Sanga Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Mufindi iliyopo Mkoani Iringa wamesema Ujio wa madaktari Bingwa wa Dkt Samia ni…
4 June 2025, 10:04 am
Kambi ya Madaktari bingwa wa Rais Dkt. Samia wameanza kutoa huduma za kibingwa na bobezi katika Mkoa wa Iringa. Ayoub Sanga Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanzisha rasmi kambi ya siku tano ya Madaktari Bingwa na Wauguzi bingwa Mkoani Iringa…
3 June 2025, 12:33 pm
Mbio za kutangaza nia za kugombea nafasi za uongozi zimezidi kushika kasi ambapo Festo Kiswaga ameonesha nia ya kulitaka Jimbo la Ismani. Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Monduli Festo Kiswaga ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la…
3 June 2025, 11:45 am
Taasisi ya CAHE imekuwa ikisaidia na kutatua changamoto za kijamii, hasa zinazowakumba watoto Na Ayoub Sanga Taasisi isiyo ya kiserikali ya Caring Hearts (CAHE) imeadhimisha miaka mitatu tangu kusajiliwa kwake kwa kutembelea Kituo cha kulelea watoto yatima na wenye mahitaji…
2 June 2025, 8:12 pm
Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ina lengo la kutunza mazingira katika Jamii. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kanda ya kati, imeendelea na jitihada zake za kuelimisha umma kuhusu matumizi…
31 May 2025, 1:44 pm
Mojawapo ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wajane ni kukosa mtu wa karibu wa kusaidiana naye kwenye malezi ya watoto na changamoto zingine za kiuchumi. Na Zaitun Mustapha Mkoa wa Iringa unajiandaa kuadhimisha siku ya wajane kitaifa huku wananchi wakitakiwa kutowatenga…
31 May 2025, 1:26 pm
Teknolojia hiyo itasaidia upatikanaji wa maji safi kwa ajili ya matumizi ya binadamu, mazingira, ikolojia na maendeleo ya kiuchumi. Na Joyce Buganda Mkuu wa wilaya ya Iringa Kheri James amepokea ugeni wa kampuni ya CC AIRWELL kutoka Austria Barani Ulaya…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.