Nuru FM
Nuru FM
24 June 2025, 12:46 pm
Zoezi la utolewaji wa Mikopo kwa wazee limetajwa kuwasaidia katika kukuza uchumi wao. Na Godfrey Mengele Katika kuhakikisha wastaafu nchini wanaendeleza maisha yao kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi wamezitaka benki nchini kuwakopesha kiasi kikubwa cha fedha kwani mahitaji sasa yamepanda…
23 June 2025, 7:06 pm
Idadi kubwa ya wanaume wanafanyiwa vitendo vya ukatili wa kimwili kwa kunyimwa tendo la ndoa, lakini usiri ndio unapelekea kufikia hatua mbaya hata kufanya mauaji ya wenza wao au kujikatisha uhai wenyewe. Na Adelphina Kutika Wanaume wanaokumbwa na Ukatili wa…
20 June 2025, 1:50 pm
Watu wenye ulemavu wanatarajiwa kunufaika na huduma za afya kwa kupata huduma za kitabibu. Na Adelphina Kutika Chama cha Wazazi na Walezi wa Watoto Wenye Ulemavu wa Kichwa Kikubwa na Migongo Wazi (ASBAHT) kwa mikoa ya Iringa na Njombe kimetakiwa…
19 June 2025, 1:33 pm
Mipango ya elimu kwa Mtoto wa kike imeanza Kutekelezwa Nchini Ili kukuza ustawi. Na Joyce Buganda Maafisa elimu nchini wametakiwa kutekeleza miradi ya Campagn For Female Educatiom CAMFED ili kufanikisha malengo ya mtoto wa kike kupata elimu bora kwa ustawi…
19 June 2025, 12:36 pm
Na Godfrey Mengele Halmashauri ya Wilaya ya Iringa imetakiwa kufuatili kiasi cha shilingi Milion 212.4 kilichotolewa kwa ajili ya mkopo kwenye vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambapo fedha hizo hazirejeshwa. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani…
19 June 2025, 11:57 am
Chama cha Mapinduzi CCM kimewaonya watia nia wa nafasi mbalimbali za uongozi kupitia chama hicho, kutotumia lugha za kebehi. Na Godfrey Mengele Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotaka kutangaza nia ya kugombea nafasi za ubunge na udiwani wametakiwa kujieleza…
13 June 2025, 11:09 am
Wanawake wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi kupambania nafasi za uongozi ili kuingia kwenye ngazi za uamuzi. Na Hafidh Ally Kuelekea uchaguzi Mkuu wa Okt 2025, Wanawake Mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ili kupata wawakilishi watakaosemea changamoto zao.…
12 June 2025, 9:38 am
Na Mwandishi wetu Mwanaume mmoja Mkazi wa Kijiji cha Igelehedza kilichopo kata ya Ilembula Wilayani Wanging’ombe Mkoani Njombe Erasto Raphaely Kabupa mwenye umri wa miaka 50 amedaiwa kufariki dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa…
11 June 2025, 12:16 pm
Wateja Mkoani Iringa wametakiwa kudai risiti kila wanapofanya manunuzi, hii kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe Peter Serukamba, amewataka wafanyabiashara wote mkoani Iringa kuacha mara moja tabia ya kutoa risiti bandia kwa…
11 June 2025, 11:31 am
Makala inaelezea je, Vyama vya Siasa vina Miongozo inayowapa nafasi wanawake kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025? Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Katika kuondokana na changamoto ya wanawake Kushindwa kushiriki kwenye nafasi za uongozi katika uchaguzi, Nuru FM…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.