Nuru FM
Nuru FM
23 March 2022, 7:42 am
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) na Wizara ye Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA) kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Taasisi ya Elimu Zanzibar (TEZ) imekamilisha zoezi la kuchambua maoni ya wadau pamoja na kuandika ripoti ya…
21 March 2022, 5:36 pm
Familia ya watu watatu wenye ulemavu wa Viungo Katika Kijiji cha Lulanzi kilichopo Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wamekabidhiwa msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu na Balozi wa Utalii Tanzania Bi Isabela Mwampamba. Msaada waliopewa ni pamoja na Mchele, mafuta ya…
21 March 2022, 6:57 am
Balozi wa Utalii Nchini Tanzania Isabela Mwampamba ameishauri serikali kutengeneza miundombinu ya barabara ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kutoka iringa Mjini. Balozi Isabela ameyasema hayo mara baada ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ruaha kwenye ziara ya wanawake kutoka…
15 March 2022, 8:00 am
WANANCHI wa kijiji cha Chiwana na Umoja kata ya Chiwana wilaya ya Tunduru,wameishukuru Serikali kwa kutimiza ahadi ya kuwapatia huduma ya maji safi na salama na kumaliza tatizo la miaka mingi la wananchi hao kutumia maji ya visima vya asili…
15 March 2022, 7:51 am
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Serikali ya Ufaransa, kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19. Akipokea msaada huo kwa niaba ya Serikali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Balozi Liberata Mulamula,…
31 October 2021, 7:01 pm
Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mh. Jackson Kiswaga amekabidhi Viti 10 vya plastiki katika kijiji cha Tagamenda baada ya kuahidi katika ziara zake za kikazi. Mh. Kiswaga ametoa viti hivyo mara baada ya kutembelea kijiji hicho na kukabidhi kwa mwenyekiti…
7 September 2021, 6:16 pm
Uongozi wa Halmshauri ya wilaya ya Iringa umesema kuwa Kuelekea mitihani ya Darasa la saba ambayo itaanza kufanyika Sept 8 mwaka huu, vyombo vya ulinzi na usalama viko makini ili kuhakikisha mitihani inafanyika kwa amani. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa…
4 September 2021, 5:31 pm
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo amempongeza Dr. Adelitus Basil Mgao kwa kuamua kuwekeza na katika sekta ya afya na kufungua kituo cha afya katika Kijiji cha Ihomasa Kilichopo Kata ya Wasa Wilaya ya Iringa. Mh. Moyo ametoa…
3 September 2021, 9:21 am
Iringa Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Iringa ameagiza kuwafikisha Mahakamani wazazi watakaobainika kuwashawishi watoto Wao kufeli kwa makusudi mitihani ya kuhitimu darasa la Saba kwa lengo la kuwaozesha na ama kwenda kuwatumikisha katika kazi za ndani nje ya…
3 September 2021, 9:01 am
Iringa Na Hafidh Ally Wanaume wa Kijiji cha Mahanzi Kilichopo Kata ya Wasa Wilaya ya Iringa wamelalamikia vitendo vya wanaume kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake wao. Wakizungumza katika Ziara ya kikazi ya Mkuu wa Wilaya…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.