Nuru FM
Nuru FM
25 March 2022, 9:16 am
Jumla ya waogeleaji 100 kuanzia Jumamosi Machi 26 watachuana kuwania medali na vikombe katika mashindano ya klabu bingwa ya mchezo wa kuogelea yaliyopangwa kufanyika kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Masaki jijini Dar es Salaam. Waogeleaji…
25 March 2022, 9:11 am
Harakati za uzinduzi wa Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa April 2 mwaka huu katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe zimepamba moto ambapo zaidi ya watu 10,000 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Njombe wanatarajiwa kushiriki katika shughuli hiyo ya uzinduzi ya…
25 March 2022, 9:05 am
Mkuu Wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo amewakikishia Wakazi Wa Tarafa ya Kiponzero kuwa kurejeshwa Kwa shughuli za kimahakama katika Kata ya Maboga hakutoathiri shughuli za kimahakama zinazoendelea kata ya Ifunda. Akizungumza na viongozi wa vijiji na kata za…
25 March 2022, 7:02 am
CHELSEA itaruhusiwa kuuza tiketi za michezo ya ugenini, mechi za mataji zinazohusisha timu ya wanawake baada ya serikali ya Uingereza kufanya mabadiliko kwenye leseni maalum ya klabu hiyo. Klabu hiyo haikuweza kuuza tiketi tangu mmiliki Roman Abramovich alipowekewa vikwazo na…
24 March 2022, 5:25 pm
Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa wa kifua kikuu ambazo zinachangia asilimia 87 ya wagonjwa wote duniani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo Machi 24, 2022 kwenye maadhimisho siku ya kifua kikuu…
24 March 2022, 5:19 pm
Mamlaka ya Maji na usafi wa Mazingira IRUWASA Wilaya ya Kilolo inatarajia kuandaa bajeti na kuipeleka kwa Mkuu wa Wilaya yenye lengo la kupeleka huduma ya maji katika Familia ya walemavu watatu wa kijiji cha Lulanzi Wilayani Kilolo. Bajeti hiyo…
24 March 2022, 4:53 pm
RAIS Samia Suluhu Hassan, amezindua daraja jipya la Selender (TANZANITE), lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 na kuagiza nembo ya mwenge wa uhuru iondolewe na kuwekwa ya Tanzanite. Akizungumza katika ufunguzi huo amesema nembo ya daraja hilo…
24 March 2022, 6:00 am
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo ya sekta ya masoko ya mitaji katika kipindi cha siku 365 za uongozi wake. Akielezea mafanikio makubwa yaliyopatikana, Afisa Mtendaji Mkuu wa…
24 March 2022, 5:44 am
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo kuwachukulia hatua Kali za kisheria wananchi na viongozi wote watakao hatibu vyanzo vya Maji na kukata hovyo miti. Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya maji wilaya ya Iringa yaliyofanyika katika…
23 March 2022, 4:55 pm
Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Peres Magiri amewatembelea familia ya walemavu watatu waliopo katika kijiji cha Lulanzi ikiwa imepita siku chache baada ya Balozi wa Utalii Nchini Tanzania Bi. Isabela Mwampamba kufika na kuanza mchakato wa kutatua changamoto zinazowakabili. Changamoto…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.