Nuru FM
Nuru FM
4 April 2022, 4:56 pm
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku magari yote ya mizigo pamoja na magari yanayokwenda nje maarufu kama IT kubeba abiria huku likitoa anyo kwa wamiliki ambao wanaingiza magari mabovu babaranani na kusababisha ajali. Akizungumza wakati wa kufunga…
4 April 2022, 4:53 pm
Watu wanne wamefariki dunia na 19 kujeruhiwa mkoani Dodoma katika ajali iliyohusisha basi la Geita Express kugongana na Fuso jana Jumapili Aprili 3, 2022. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga amesema ajali hiyo…
4 April 2022, 4:51 pm
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kujaribu kuharibu miundombinu ya Daraja la Tanzanite. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa…
4 April 2022, 4:47 pm
Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc amesema vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa moja kwa moja kutoka Bungeni katika vipindi vyote vya bunge. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Nenelwa amesema baada ya…
1 April 2022, 3:29 pm
Jumla ya viongozi wa wapya wa vyama vya Ushirika wa akiba na Mikopo Mkoani Iringa 22 wamepewa mafunzo ya namna ya kuendesha vyama vyao katika ukumbi wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la Iringa. Akizungumza mara baada ya kumalizika…
31 March 2022, 4:58 pm
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ametoa mwezi mmoja kwa Wazazi na Walezi wa wanafunzi 16 wa Tarafa ya Shelui ambao hadi sasa hawajaripoti shuleni baada ya kufaulu darasa la saba kwenda Sekondari kuhakikisha wanafanya hivyo na…
31 March 2022, 4:55 pm
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM iliyokaa leo Machi 31, 2022 mkoani Dodoma imepitisha kwa kauli moja jina la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Abdulrahman Kinana kuwa Makamu mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, baada ya aliyekuwa…
31 March 2022, 4:50 pm
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kilichokitana leo Machi 31 mkoani Dodoma kimemsamehe alieyewahi kuwa waziri wa Mambo ya nje Benard Membe na kumrejeshea uanachama. Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema, msamaha…
29 March 2022, 4:12 pm
Miongoni mwa sababu zinazozifanya bidhaa na huduma za nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kushindwa kupenya na kuingia katika masoko ya kimataifa ni kushindwa kwa bidhaa na huduma hizo kukidhi matakwa ya viwango. Ameyasema hayo leo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Said…
29 March 2022, 4:08 pm
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 tu ambazo itakuwa ni jumla ya Shilingi 267 kwa kila kilo…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.