Nuru FM
Nuru FM
11 May 2022, 4:05 am
Kampuni ya SportPesa imewakabidhi Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Shilingi Milioni 50 kama zawadi ya klabu hiyo kufika Hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Simba SC iliishia Robo Fainali kwenye michuano hiyo, baada ya kuondoshwa kwa changamoto…
11 May 2022, 4:00 am
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amepokea taarifa ya mapendekezo ya ongezeko la mishahara ya watumishi kutoka kwa timu ya wataalamu iliyokuwa ikiyaandaa kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Amepokea taarifa hiyo jana usiku (Jumanne, Mei 10, 2022)…
11 May 2022, 3:53 am
Familia ya watu watatu wenye ulemavu katika kijiji cha Lulanzi Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa imekabidhiwa magodoro manne ya kitabibu na Balozi wa utalii Tanzania Bi Isabella Mwampamba akiwa na wadau wa maendeleo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magodoro hayo,…
10 May 2022, 7:47 am
Meli kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4,397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam na kuvunja rekodi, ikiwa na idadi kubwa ya magari kuwasili kwa mara moja katika bandari hiyo. Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Nicodemas…
10 May 2022, 7:36 am
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia tarehe 10 – 11 Mei, 2022 kwa mualiko wa Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda.…
10 May 2022, 6:36 am
Wziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu zilizoainishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wachukuliwe hatua. Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe…
6 May 2022, 8:08 am
Kocha Mkuu wa Mbeya Kwanza FC Mbwana Makata ametoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kazi kubwa waliyoifanya dhidi ya Tanzania Prisons jana Alhamis (Mei 05), Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma mjini Songea. Mbeya Kwanza FC iliyokuwa mwenyeji wa mchezo huo,…
6 May 2022, 7:31 am
Wakazi wa Kijiji cha lulanzi kilichopo Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wameshiriki kuchimba mtaro wa kupeleka maji katika familia ya watu watatu wenye ulemavu ili kutatua changamoto ya huduma hiyo. Wakizungumza mara baada ya kutembelewa na balozi wa utalii…
6 May 2022, 5:29 am
Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa amechangia shilingi Milioni Tano kwa ajili ya kutatua changamoto zinazowakabili walemavu watatu wa familia Moja katika kijiji cha Lulanzi kilichopo Kata ya Nyalumbu Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.…
29 April 2022, 9:39 am
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishana Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Jumanne Muriro amewatoa hofu Mashabiki wa Soka wa Simba SC na Young Africans ambao timu zao zitakutana kesho Jumamosi (April 30), Uwanja wa Benjamin…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.