Nuru FM
Nuru FM
1 December 2022, 11:16 am
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) MNEC Salim Asas amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutunukiwa shahada ya juu ya udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kutokana na kufanya mabadiliko…
1 December 2022, 9:55 am
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2,194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa waliofanya mitihani. NECTA imefikia uamuzi huo siku chache baada ya…
1 December 2022, 7:11 am
MKUU wa wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo amesema kuwa hajaridhishwa na ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari katika Tarafa ya Mlolo na Kiponzero na kutoa Siku saba kuhakikisha vyumba vya madarasa hayo viwe vimekamilika. Akizungumza wakati wa ziara…
27 November 2022, 7:45 am
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa, Dkt. Ritta Kabati ametoa wito kwa nchi za Jumuiya Ya Afrika Mashariki kuitumia michezo ya mabunge ya Jumuiya hiyo kuleta amani kwa nchi za Jumuiya Afrika Mashariki zenye migogoro ya kisiasa. Kabati ameyasema…
27 November 2022, 7:04 am
HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa imeyaipongeza makampuni ya Asas kwa kupata tuzo ya ulipaji Kodi bora kutoka kwa mamlaka ya mapato(TRA) jambo linalosaidia kukuza uchumi wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Ibrahim…
24 November 2022, 3:29 pm
Wakulima mkoani Iringa wamefanya matembezi ya kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea. Wakizungumza Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Iringa wakulima hao wamesema kuwa walikuwa wakinunua mbolea kwa shilingi…
22 November 2022, 5:58 am
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Abdul-Razaq Badru amesema wameongeza bajeti ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kwa asilimia 14.7 ambalo limefikia Shilingi 654 bilioni kutoka Shilingi 570 bilioni za awali. Badru ameyasema…
22 November 2022, 5:44 am
Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDS) leo imezindua rasmi zoezi la kampeni ya nyumba kwa nyumba ya ugawaji wa Kingatiba kuthibiti Ugonjwa wa matende na mabusha (Ngirimaji) litakalo tekelezwa katika Halmashauri za…
22 November 2022, 5:28 am
Wakazi wa Mkoa wa Morogoro wametakiwa kuepukana na vitendo vya uharibifu wa Mazingira katika Mkoa huo badala yake washiriki kikamilifu katika utunzaji kwakuwa mkoa huo umekuwa na mchango Mkubwa katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Dar es salaam na Pwani. Kauli…
17 November 2022, 5:40 am
Mkoa wa iringa umefanikiwa kuhamasisha wananchi wake kuwa na vyoo bora kwa Asilimia 89.5 kati ya kaya 252,301. Hayo yamezungumzwa na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa iringa Dr. Credianius Mgimba katika Maadhimisho ya Wiki ya usafi wa mazingira na…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.