Recent posts
26 January 2021, 11:40 am
Ifahamu nuru fm kwa ufupi
Nuru fm ni radio ya kijamii ambayo ilianza kurusha matangazo yake mwaka 2009 kupitia masafa ya 93.5 lengo lake ni kufikia wananchi wote wa mkoa wa iringa na kutengeneza vipindi bora na iwe radio inayosikiliza kero za wananchi mpaka sasa…
26 January 2021, 10:59 am
Ziara ya siku mbili ya waziri mkuu mkoani Iringa
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuweka mazingira Rafiki na wezeshi kwa ajili ya kuendeleza Ubunifu unaofanywa na Vijana mkoani Iringa ili waweze kusaidia ukuaji wa Teknolojia
11 January 2021, 7:45 am
wazazi wajibikeni katika malezi
Wazazi na walezi mkoani iringa wametakiwa kushiriki vyema katika malezi na matunzo ya mtoto lengo likiwa ni kumstawisha mtoto katika hali ya maadili Akizungumza na Nuru fm katibu tawala mkoa wa iringa Happiness seneda amesema kuwa anayo majukumu ya kimkoa…
31 December 2020, 10:18 am
Wakulima watumie viwanda
Naibu waziri wa viwanda na biashara mhe. Exsaud Kigahe, amewataka wawekezaji nchini, kuona umuhimu wa kujenga viwanda vya kuchakata mazao katika maeneo zinakopatikana kwa wingi malighafi zitokanazo na kilimo. Mhe. Kigahe amesema hayo wakati alipowatembelea wakazi wa kata ya mapanda…
21 December 2020, 9:05 am
Wahitimu msitegemee ajira – Prof. Anangisye
Wahitimu wa Fani mbalimbali katika Chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa kilichopo mkoani Iringa wametakiwa kutumia Taaluma zao katika kuongeza thamani ,Ubunibu na Kutengeneza Ajira zitakazoinufaisha jamii inayowazunguka badala ya Kutegemea kuajiriwa. Akizungumza na Katika Mahafari ya 12 ya Chuo…
7 December 2020, 5:14 pm
Wanaume kukosa ujasiri wa kuripoti matukio ya Ukatili unaowakabili
Miongoni mwa sababu zinazotajwa na kupelekea wanaume kushindwa kufikisha taarifa za kufanyiwa ukatili katika vyombo vinavyohusika ni pamoja na uwepo wa Mtazamo Hasi na uwoga wa kudharirika iwapo jamii itabaini suala hilo Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha mnadani Mkurugenzi…
7 December 2020, 10:16 am
Mbabe wa simba apigwa na Yanga
Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema…
26 November 2020, 6:54 am
Wanafunzi 130 Tosamaganga warudishwa nyumbani kwa siku 7
Wanafunzi 130 wa shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilayani Iringa wamerudishwa nyumbani kwa siku saba hadi watakapolipa shilingi elfu 35 kila mmoja baada ya kushiriki vurugu zilizosababisha uharibifu wa mali za shule wakigomea tarehe ya kuanza mtihani wa mwisho…