Nuru FM
Nuru FM
23 October 2022, 9:47 am
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE) katika Jiji la Dar es Salaam ni fursa kubwa kwa jijini hilo kutangaza vivutio vyake. Amesema kuwa Jiji la Dar…
23 October 2022, 9:40 am
JUMLA ya wananchi 112,669 wamepata chanjo ya UVIKO 19 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambapo ni sawa asilimia 91ya walengwa ambao ni 123,418 kwa lengo kulinda afya za wananchi wasipatwe na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Akizungumza wakati wa…
23 October 2022, 9:37 am
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo ametoa siku saba kwa mawakala wa pembejeo za kilimo kufikisha mbole aina zote kwa wakulima huku wakisubili serikali kutatua changamoto za kimfumo ambazo wanakabiliana nazo. Akizungumza wakati kikao kazi na wadau,mawakala…
13 October 2022, 4:31 pm
JESHI la Polisi mkoa wa iringa limefanya operesheni na kukamata mtambo (wheel loader cartepille ) katika kijiji cha Igingilanyi kata ya isimani Wenye thamani ya Shilingi Million mia mbili hamsini . Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la…
13 October 2022, 5:43 am
Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye wakati akifungua…
13 October 2022, 5:32 am
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji na waingizaji wa mabati nchini kuhakikisha wanazingatia viwango ili kuzalisha mabati bora. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na Usimamizi wa Sheria TBS, Bw.Moses Mbambe amesema…
13 October 2022, 5:27 am
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametaja mambo manne ambayo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiyasimamia enzi ya uhai wake kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania. Kinana ameyataja mambo…
10 October 2022, 8:14 am
Shirika la Vyombo vya Habari kwa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TAMCODE) limetoa wito kwa Majaji kutoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa washtakiwa wa mauaji badala ya kifo ili kuokoa watu wasiokuwa na hatia. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi…
8 October 2022, 7:39 am
Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa za ngozi. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo wakati alipotembelea chuo hicho kampasi ya Mwanza ili…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.