Nuru FM

Recent posts

19 September 2022, 4:25 pm

Umeme Kigoma: Serikali kuokoa Bil 22.4

Serikali sasa inatarajia kuokoa shilingi Bilioni 22.4 kwa mwaka ambazo zilikuwa zikigharamia ununuaji wa mafuta kuendeshea mtambo wa Jenereta na matengenezo yake, ili kupata umeme uliokuwa ukitumika Mkoa wa Kigoma. Uokoaji wa kiasi hicho cha pesa unafuatia Mkoa huo kuunganishwa…

19 September 2022, 4:23 pm

Makalla awataka Vijana JKT kupambana na uhalifu

Mkuu wa Mkoa wa Da es Salaam, Amos Makalla amefunga Mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT, yaliyojulikana kama operesheni Jenerali Venance Mabeyo , huku akiwasihi vijana hao kuwa raia wema na kutojihusisha na vitendo vya uhalifu. RC…

19 September 2022, 4:20 pm

Serikali yatenga Bil. 3 ujenzi Hospitali ya rufaa

Serikali, imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel hii leo Septemba 19, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu…

17 September 2022, 7:24 am

Maafisa Forodha Na Wasimamizi Wa Sheria Mipakani Wapewa Kibarua

SERIKALI imewataka maafisa forodha na wasimamizi wa sheria mipakani kuendelea na usimamizi na udhibiti wa kemikali zinazodhibitiwa kwa kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali hizo. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt.Switbert Mkama wakati akifungua…

17 September 2022, 7:21 am

Bungeni: Wenye malimbikizo ya madeni ‘walegezewa kamba na TRA’

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inaendelea kujadiliana na wafanyabiashara wenye malimbikizo ya kodi, ili kuwapa unafuu wa malipo kwa awamu bila kuathiri mwenendo na uendeshaji wa biashara zao. Chande ameyasema…

17 September 2022, 7:16 am

Rc Manyara Awapa Kazi Takukuru Kuchunguza Kilombero

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Charles Makongoro Nyerere ameiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kuchunguza mashamba yaliyouzwa na kugawanywa kwa wananchi na kuchangishwa sh60,000 kila kaya kwa ajili ya ujenzi wa zahanati. Makongoro akizungumza na wakazi wa…

11 September 2022, 3:34 pm

Tume kuundwa kufuatilia migogoro ya ardhi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa Kagera, Albert John Chalamila kuunda Tume maalum itakayopokea malalamiko ya ardhi yaliyokithiri katika Halmashauri ya wilaya ya Karagwe, Mkoani Kagera.…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.