Nuru FM
Nuru FM
22 November 2023, 8:06 am
Na Hafidh Ally Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuwaajiri watendaji waliokuwa wakijitolea Katika nafasi zilizotangazwa hivi karibuni. Mh. Kikwete ameyasema hayo…
20 November 2023, 9:46 am
Na Godfrey Mengele Shule ya msingi njiapanda iliyopo kata ya Mwangata Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa imenufaika na mradi wa kizazi Hodari unaotekelezwa na USAID kanda ya kusini wenye lengo la kuwasaidia Watoto yatima wanaoishi na maambukizi ya…
16 November 2023, 8:34 pm
Na Godfrey Mengele. Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa imezindua mfumo wa uandikishaji kwa alama za vidole lengo likiwa kuimarisha huduma kwa watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) ili kupata takwimu sahihi za wale wanaoishi na maambuzi hayo…
16 November 2023, 10:23 am
Na Mwandishi Wetu. Jumla ya pikipiki 7 zenye thamani ya shilingi 22,129,100/-zimekabidhiwa kwa watendaji wa Kata nne za pembezoni na wakusanya mapato Katika Halmashauri ya Mji Mafinga ili kuboresha utendaji kazi na ukusanyaji wa Mapato. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi…
15 November 2023, 11:50 am
Na Mwandishi Wetu. Jumla ya Mifugo 345 Imekamatwa ikichungwa ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha kinyume cha sheria za uhifadhi. Hayo yamezungumzwa naGodwell Ole Meing’atakiKamishna Msaidizi Mwandamizi na Kamanda wa Hifadhi ya Taifa Ruaha na kuongeza kuwa huo ni…
14 November 2023, 4:12 pm
Na Denis Nyali Jumla Ya Watoto 9000 Walioambukizwa Virusi Vya Ukimwi Wamefikiwa Na Mradi Wa USAIDS Kizazi Hodari Unaotelelezwa Kwa Mkoa Wa Iringa Na Njombe Na Kuwaunganisha Na Vikundi Mbalimbali Katika Kuwawezesha Kupata Kiuchumi. Akizungumza Na Nuru Fm Mkurugenzi Wa Mradi Huo Doroth…
13 November 2023, 11:19 am
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha timu ya Taifa ya Soka, Taifa Stars kwenda Marrakesh kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa ugenini Novemba 18, mwaka huu, nchini Morocco. Timu…
13 November 2023, 10:18 am
Na mwandishi wetu Wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa leo. Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), imeeleza kuwa mwaka huu kuna ongezeko la watahiniwa 8, 633 sawa na…
10 November 2023, 10:13 am
Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mh Jackson Kiswaga ametimiza Ahadi ya kuwapeleka Mabingwa wa Mashindano yake ya Kiswaga cup 2023 Timu ya Chamgogo Fc kuhudhuria Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chamgogo Fc Wamepata…
9 November 2023, 6:09 am
Na Frank Leonard Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa kimewataja mawakili 10 kiliowapanga katika maandalizi hadi usikilizwaji wa rufaa ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi namba 28 ya mwaka 2022 inayomhusu mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa miaka…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.