Nuru FM

Recent posts

27 December 2022, 8:33 am

Maiti zilizokosa ndugu, jamaa zazikwa rasmi Dodoma

Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19, ambazo zimekosa ndugu wa kuzima heshima za mwisho na kuwapa pumziko. Hatua hiyo, imethibitishwa na Ofisa Afya Usafishaji wa Jiji la Dodoma,…

18 December 2022, 12:41 pm

Iringa yapaa Kimataifa uhifadhi wa Mazingira

Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema Tanzania imepaa tena kimataifa baada ya mji wa Iringa kuorodheshwa kuwa ni mojawapo kati ya miji 15 Duniani, ambayo inazingatia usafi na utunzaji wa Mazingira. Ngwada ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi…

16 December 2022, 5:13 pm

Serikali Yatoa Milioni 50 Kumalizia Ujenzi Wa Zahanati Mtumile

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeahidi kutoa fedha ili kumalizia ujenzi wa boma la zahanati ya Mtumile baada ya nguvu kazi za wananchi  kufikia hatua ya kuezeka bati. Kauli hiyo imetolewa na Waziri…

16 December 2022, 5:01 pm

Simba, Yanga Na Azam Zatenganishwa Kombe La Mapinduzi

MABINGWA watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi C pamoja na Mlandege na KVZ katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari 1 hadi 13, mwakani. Kwa upande wao, mabingwa wa Bara, Yanga SC wao wapo Kundi B pamoja na Singida…

16 December 2022, 4:56 pm

Wafugaji Waomba Elimu Ili Kuboresha Shughuli Zao

  WAFUGAJI zaidi ya 100 kutoka katika kata zote 30 za Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wameomba kupatiwa elimu ya ufugaji bora na maeneo ya malisho ili kuboresha shughuli zao ikiwemo kuongeza idadi ya mifugo ila sio kupunguza. Hayo yamebainishwa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.