Nuru FM
Nuru FM
14 May 2024, 7:50 pm
Mfumo mpya wa manunuzi utakuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji kwa watumishi wa umma pindi wanapofanya manunuzi ya mali za umma. Na Godfrey Mengele Mkuu wa Mkoa wa Iringa ,Peter Serukamba ameziagiza Taasisi za umma Mkoani Iringa ambazo hazijaanza kutumia mfumo…
14 May 2024, 10:19 am
Matumizi ya Kompyuta yameongeza ufanisi katika ufundishaji Hali inayochangia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi Mkoani Iringa. Na Adelphina Kutika Mfumo wa kutumia teknolojia ya Kompyuta katika kufundishia mashuleni umeonesha ni mfumo unaorahisisha ufundishaji na kukuza hamasa kwa wanafunzi ya kupenda kusoma…
10 May 2024, 12:32 pm
Waajiri wanaoshindwa kuwapa Fursa ya kupata mafunzo waajiriwa wao waonywa ili kuongeza uelewa kwa watendaji hao. Na Adelphina Kutika Serikali imechukizwa na kitendo cha baadhi ya Waajiri wa Taasisi za Umma kwa kutowaruhusu na kuwagharamia Wanachama wa Chama cha Taaluma…
10 May 2024, 12:24 pm
Zao la chai limeandaliwa mikakati ili kuwanufaisha wakulima na wadau wa zao hilo Mkoani Iringa. Na Joyce Buganda Wadau wa chai nchini wametakiwa kutoyatelekeza mashamba yao ya chai kwani kwa sasa zao hilo limeonekana kufumuka upya kwa uthamani pamoja na…
8 May 2024, 12:33 pm
Watunza kumbukumbu za Mamlaka za Serikali wametakiwa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za serikali wanapotekeleza majukumu yao. Na Adelphina Kutika Wanataaluma wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) wametakiwa kuzingatia miiko ya taaluma yao hususan utunzaji…
8 May 2024, 12:24 pm
Zaidi ya wakulima 1000 mkoani Iringa wamenufaika na mafunzo kutoka Taasisi ya Trees for the future. Na Joyce Buganda Taasisi ya TREES FOR THE FUTURE imewataka wahitimu wao kufanya kwa vitendo mafunzo waliyoyapata ili yaweze kuwa na tija na manufaa…
7 May 2024, 8:44 pm
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya, Dkt. Festo Dugange amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano bado ni kikubwa ambapo kwa…
7 May 2024, 8:35 pm
Mgomo wa madereva daladala umechukua sura mpya baada ya madereva hao kutotoa huduma ya usafiri kutokana na Madereva bajaji kuingilia Njia zao. Na Hafidh Ally Madereva daladala katika kituo cha stand ya zamani ya mabasi Manispaa ya Iringa wameendeleza mgomo…
6 May 2024, 9:22 pm
Wataalamu hao watafanya Kazi Kaa karibu kwa ushirikiano kutoka Kwa madaktari wenyeji ili kutoa huduma za kitabibu kwa wananchi. Na Joyce Buganda Waziri wa afya Ummy Mwalimu amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi pindi wasikiapo uwepo wa madaktari bingwa ili kupata…
6 May 2024, 9:01 pm
Wananchi wa mtaa wa Mtalagala kata ya Nduli Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya umeme kili kurahisisha shughuli za uchumi na ukuaji wa mtaa huo. Na Azory Orema Wananchi hao wamesema kuwa wamechokwa kudanganywa na viongozi wao ambao…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.