Nuru FM
Nuru FM
19 July 2024, 9:51 am
Vijana wanahitaji kuandaliwa vizuri ili waelewe wanalima nini, mtaji watapata wapi, watauza wapi mazao yao. Na Naida Athanasi na Michael Mundellah Ukosefu wa elimu ya kilimo bora na mitaji imetajwa kama sababu inayopelea vijana wengi Mkoani Iringa wasijiusishe na shughuli…
18 July 2024, 9:34 am
Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana unasalia kuwa kitendo cha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu duniani kote, ukiathiri zaidi ya wanawake na watoto milioni 1.3. Na Hafidh Ally Wazazi Mkoani Iringa wametakiwa kuachana na tamaduni za kimagharibi hasa mtoto…
16 July 2024, 11:47 am
Kutokana na kuwepo kwa matukio ya ukatili, Wilaya ya Mufindi imeweka mkakati wa kukabiliana na changamoto hiyo ili kukuza ustawi katika wilaya hiyo. Na Joyce Buganda Serikali wilaya ya Mufindi imewataka wazazi na walezi Wilayani Humo kuhakikisha wanapambana na matukio…
12 July 2024, 9:39 am
Na Joyce Buganda Wapangaji Manispaa ya Iringa wametakiwa kujitambulisha kwa wenyeviti wa Mitaa au wajumbe pindi wanapohama kutoka mtaa mmoja kwenda mwingine ili kudhibiti matukio ya uhalifu. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa mtaa wa Msichoke uliopo katika kata ya…
9 July 2024, 3:51 pm
Na Adelphina Kutika Aliyekuwa Mwenyekiti wa Zamani wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ,Ambaye sasa ni Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM)Mchungaji Peter Simon Msigwa ameahidi kuonesha ushirikiano katika chama hicho. Mchungaji Msigwa Ameyasema hayo wakati akisaini kitabu cha wageni katika…
9 July 2024, 10:19 am
Na Frank Leonard WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kusimamishwa kazi mara moja Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Emanuel Sigachuma na Ofisa Elimu Sekondari wa halmashauri hiyo Nelson Milanzi, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili na kufikishwa mahakamani. Wawili…
8 July 2024, 8:14 pm
Na Mwandishi wetu. WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameagiza kuondolewa kwa madawati yaliyopo katika shule ya sekondari ya Iramba Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambayo hayana eneo la kuhifadhi madaftari ya wanafunzi. Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo mkoani Iringa wakati akizindua…
7 July 2024, 10:50 am
Vitendo vya kutishiana maisha vimeshamiri katika kijiji cha Saadan mkoani Iringa baada ya kijana wa kijiji hicho kuamka asubuhi na kukuta msalaba wa mtu aliyefariki dunia toka mwaka 1997. Na Hafidh Ally na Azory Orema Mkazi wa kijiji cha Saadani…
4 July 2024, 11:16 am
Wananchi wamelalamika kuongezeka makato ya kodi ya majengo kuanzia Julai Mosi 2024. Na Michael Mundellah na Naida Atannas Wananchi Manispa ya Iringa wamelalamikia kuona ongezeko la tozo ya makato ya kodi ya majengo kuanzia Julai Mosi 2024 pindi wanaponunua umeme…
3 July 2024, 12:17 pm
Majukumu na wajibu wa kikatiba wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali yameainishwa katika Ibara ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu Na. 10(1) cha Sheria ya Ukaguzi, Sura ya…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.