Nuru FM
Nuru FM
12 June 2024, 10:26 am
Wakazi wa Iringa wametakiwa kutumka maonyesho ya The Iringa Festival kama fursa ya kiuchumi kwenye eneo lao. Na Joyce Buganda Katika Kuhakikisha Iringa inaendelea kujitangaza kuwa ndio lango kuu la Utalii Kusini na shughuli nyinginezo, Mkoa Iringa unaanziasha Iringa Festival…
12 June 2024, 9:45 am
Mara nyingi migogoro midogo midogo ya ardhi isiposhughulikiwa kikamilifu na dalili zake kupuuzwa hugeuka kuwa migogoro mikubwa jambo lililopelekea Halmashauri ya manispaa ya Iringa kuanzisha kliniki ya ardhi kwa wakazi wake. Na Adelphina Kutika Wananchi wa kata ya Nduli Halmshauri…
12 June 2024, 9:39 am
Licha ya kupatiwa huduma ya umeme katika eneo lao wananchi wa Ilangamoto wamelalamikia umeme huo hutokuwa na nguvu za kuhudumia wananchi wa eneo lote. Na Mwandishi wetu Wananchi wa mtaa wa Ilangamoto Kata ya Lyamkena Halmashauri ya Mji wa Makambako…
10 June 2024, 1:59 pm
Licha ya serikali kufanya jitihada kumaliza tatizo la udumavu nchini, mkoa wa Iringa umebaki kuwa mkoa unaoongoza kwa tatizo la udumavu nchini. Na Joyce Buganda Watoto wenye umri wa miaka 0-5 mkoa wa Iringa wanakabiliwa na changamoto ya udumavu sawa…
7 June 2024, 12:41 pm
Upandaji na uwepo wa misitu katika jamii zetu unachangia asilimia 47 ya akiba ya hewa ukaa ya misitu duniani na hutoa asilimia 60 ya miti ya mbao inayotumiwa viwandani duniani. Na Joyce Buganda Zaidi ya miti milioni 2 na laki…
7 June 2024, 12:18 pm
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo. Na Mwandishi wetu Jamii wilayani Mufindi imetakiwa kunywa maji mengi na kupunguza matumizi makubwa ya protini ili…
5 June 2024, 12:22 pm
Migogoro ya ardhi imetajwa kuwa sababu ya Wananchi Wilaya ya Iringa kutokuwa na maelewano. Na Adelphina Kutika Wananchi wa Tarafa za Idodi na Tarafa ya Kiponzero iliyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameiomba Serikali kutatua changamoto ya Mgogoro…
5 June 2024, 11:33 am
Hatua ya Serikali ya kuweka mfumo mpya wa usajili wa namba za pikipiki na bajaji inalenga kuweka mfumo na utaratibu mzuri wa uratibu wa vyombo hivyo vya usafiri kwa lengo la kuhakikisha usafiri huo unakuwa salama, ikiwa ni pamoja na…
4 June 2024, 10:55 am
Shule ya Sekondari Mlamke inakabiliwa na ukosefu wa uzio jambo linalopelekea wanafunzi kupata kero kutokana na uwepo wa vilabu vya pombe pembezoni mwa shule hiyo. Na Adelphina Kutika Wananchi wa kata ya Ilala katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameiomba…
4 June 2024, 10:29 am
Mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa umemuibua aliyekuwa Mgombea wa nafasi hiyo Peter Msigwa akisema haukuwa wa haki. Na Hafidh Ally ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Mch. Peter Msigwa, amekata…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.