Nuru FM

Recent posts

29 November 2023, 9:46 am

Bajaj zinazopita njia tofauti kutozwa faini ya laki 2 Iringa

Na Frank Leonard Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Kastori Msigala ameliomba Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo kurudisha faini ya Sh 200,000 kwa bajaji zinazopita njia zilizozuiliwa. Kwa sasa bajaji zinazokamatwa kwa makosa hayo, wamiliki wake wanatozwa faini…

29 November 2023, 9:15 am

Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana Iringa-Makala

Vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi iringa waiomba serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kupata elimu na huduma ya afya ya uzazi ili kuwawezesha kujikinga na magonjwa ya zinaa. Undani wa taarifa hii sikiliza makala ifuatayo

28 November 2023, 7:10 pm

Mtazamo hasi wapelekea wanawake kushindwa kununua kondom

Na Mwandishi wetu Mitazamo tofauti imekuwa ikijitokeza kwenye jamii zetu juu ya suala zima la mwanamke kununua kinga (kondomu) moja kati ya mitazamo hiyo ni kuona au kumchukulia mwanamke anayeenda kununua kinga kama moja kati ya wanawake ambao hawajatulia kwenye…

24 November 2023, 3:11 pm

Polisi Iringa wafanya mdahalo wa ulinzi na usalama kwa wanahabari

Na Adelphina Kutika Waandishi wa habari mkoani Iringa wametakiwa kuzingatia sheria za utoaji wa habari ili kuimarisha mahusiano mazuri baina ya vyombo vya habari na Jeshi la Polisi  katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa…

22 November 2023, 8:06 am

Ridhiwani aagiza watendaji waliojitolea Iringa kuajiriwa

Na Hafidh Ally Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuwaajiri watendaji waliokuwa wakijitolea Katika nafasi zilizotangazwa hivi karibuni. Mh. Kikwete ameyasema hayo…

20 November 2023, 9:46 am

Shule ya msingi Njiapanda yanufaika na mradi wa ‘kizazi hodari’

Na Godfrey Mengele Shule ya msingi njiapanda iliyopo kata ya Mwangata Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa imenufaika na mradi wa kizazi Hodari unaotekelezwa na USAID kanda ya kusini wenye lengo la kuwasaidia Watoto yatima wanaoishi na maambukizi ya…

16 November 2023, 10:23 am

Watendaji wa Kata Mafinga Mji wakabidhiwa Pikipiki.

Na Mwandishi Wetu. Jumla ya pikipiki 7 zenye thamani ya shilingi 22,129,100/-zimekabidhiwa kwa watendaji wa Kata nne za pembezoni na wakusanya mapato Katika Halmashauri ya Mji Mafinga ili kuboresha utendaji kazi na ukusanyaji wa Mapato. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.