Nuru FM
Nuru FM
31 October 2024, 10:54 am
Na Shaffih Kiduka, Halima Abdalla, Zahara Said na Shahanazi Subeti Siku chache baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kutangaza utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, baadhi ya wananchi Manispaa ya iringa wamesema…
31 October 2024, 10:00 am
Karibu Kusikiliza Makala maalumu inayohusu ushiriki wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi hasa kwenda kliniki na mwenza wake kupata ushauri na nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya.
23 October 2024, 10:51 am
Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kata ya Boma Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa wameridhia kuchanga fedha kiasi cha shilingi elfu 7 kila mzazi ili zisaide kujenga miundombinu ya maji katika mradi wa kisima uliojengwa shule ya Msingi Mji Mwema.…
23 October 2024, 9:38 am
Na Hafidh Ally Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limeonya baadhi ya watu wanaowapotosha wafugaji wilayani Mbarali katika Mkoa wa Mbeya kwamba Serikali imeruhusu kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha likidai kuwa taarifa hizo sio za kweli…
22 October 2024, 11:01 am
Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Ndolezi uliopo Kata ya Boma Halmashauri ya Mji Mafinga wameiomba Serikali kuwatumia wazabuni wa ndani kusimamia miradi ya maendeleo ili kuepukana na ucheleweshaji wa kukamilisha Miradi. Hayo yamezungumzwa na baadhi ya wananchi wa…
21 October 2024, 12:58 pm
Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) Nyanda za Juu Kusini imejizatiti kuwajengea uwezo wakulima na mawakala wa mbolea ya ruzuku mkoani Iringa ili kuboresha utendaji wao. Wakizungumza mara baada ya mafunzo yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili…
21 October 2024, 11:35 am
Na Fredrick Siwale Serikali imetenga zaidi ya milion 600 katika shule ya sekondari Igowole wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ili kuboresha miundombinu ya elimu. Hayo yamezungumzwa Katika mahafali ya 34 katika Shule ya Sekondari Igowole na Afisa elimu Sekondari Halmashauri…
21 October 2024, 10:26 am
Na Van Kahise Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani ameishukuru serikali kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi barabara kwa kiwango cha lami kutoka Kijiji cha Msembe lango la Hifadhi…
19 October 2024, 11:32 am
Changamoto na kero zinazowakabili wafugaji na wakulima katika Tarafa ya Pawaga iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa zimeanza kutatuliwa. Na Joyce Buganda WAKULIMA wa Tarafa ya Pawaga, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na wafugaji kuruhusu mifugo kuingizwa…
12 October 2024, 7:45 pm
Na Adelphina Kutika Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga mjini Iringa kukomesha migogoro inayowagawa ili wawe na sauti moja katika kushughulikia masuala yao. Wito huu umetolewa na Katibu Mkuu wa SHIUMA Taifa, Venatus…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.