Nuru FM
Nuru FM
16 December 2024, 8:51 am
Na Adelphina Kutika Wafugaji wa Kijiji cha Ng’osi kata ya Uhambingeto wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameshauriwa kuweka mipango kazi katika shughuli zao za ufugaji ili kufanya ufugaji wenye tija. Hayo yamesemwa na Afisa Mifugo kata ya Uhambingeto Alex Sangijo…
11 December 2024, 9:59 pm
Na Hafidh Ally Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyozinduliwa rasmi katika Viwanja vya Mwembetogwa Mkoani Iringa. Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni hiyo Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya…
11 December 2024, 7:19 am
10 December 2024, 12:31 pm
Na Mwandishi wetu Wanaume kutoka Kijiji cha Igangidung’u Kata ya Kihanga wilayani Iringa wameeleza namna ambavyo wanafanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwa kupewa dawa za kuwapumbaza akili zikifahamika kwa jina la ‘limbwata’ sambamba na kukutana na vipigo kutoka kwa wake zao.…
10 December 2024, 6:32 am
9 December 2024, 11:02 am
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na timu maalum kutoka Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu limefanya ukaguzi wa vyombo vya moto ambapo jumla ya magari 45 yamekutwa na makosa mbalimbali. Akizungumza kwenye operesheni hiyo…
7 December 2024, 11:02 am
Na Mwandishi wetu Historia imeandikwa katika Mkoa wa Iringa baada ya wananchi zaidi ya 4200 kuhudumiwa pamoja na wagonjwa zaidi ya 150 kufanyiwa upasuaji kutoka kwa Madaktari Bingwa wa Dkt.Samia walioweka kambi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa.…
7 December 2024, 10:40 am
Na Mwandishi wetu Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida, ambaye mwili wake ulihifadhiwa ndani ya nyumba kwa miezi miwili tangu alipofariki dunia ikisubiriwa kuwa angefufuka, umezikwa. Mwili wa Chida (47), umezikwa katika makaburi ya Mlolo, Manispaa ya Iringa…
5 December 2024, 8:55 am
Na Godfrey Mengele Hali ya kustaajabisha imetokea katika kijiji cha Isakalilo kilichopo kata ya Kalenga mkoani Iringa umekutwa mwili wa Mchungaji wa Kanisa la Huruma Mch John Wilson Chiba aliyefariki dunia tangu mwanzoni mwa mwezi wa Oktoba 2024 huku kukiwa…
4 December 2024, 12:03 pm
Na Adelphina Kutika Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi wenye thamani ya shilingi bilioni 55 uliopo Tarafa ya Pawaga wilaya ya iringa unatarajia kuongeza uzalishaji wa mpunga na kuinua uchumi wa Kata za Itunundu na Mboliboli. Hayo ameyasema Mhandisi…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.