Nuru FM

Recent posts

31 October 2024, 10:00 am

Makala: Ushiriki wa wanaume kwenye afya ya uzazi

Karibu Kusikiliza Makala maalumu inayohusu ushiriki wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi hasa kwenda kliniki na mwenza wake kupata ushauri na nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya.

23 October 2024, 9:38 am

Wanaoingiza mifugo hifadhi ya taifa Ruaha waonywa

Na Hafidh Ally Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limeonya baadhi ya watu wanaowapotosha wafugaji wilayani Mbarali katika Mkoa wa Mbeya kwamba Serikali imeruhusu kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha likidai kuwa taarifa hizo sio za kweli…

22 October 2024, 11:01 am

Mzabuni atekelekeza mradi wa nyumba ya mwalimu Ndolezi

Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Ndolezi uliopo Kata ya Boma Halmashauri ya Mji Mafinga wameiomba Serikali kuwatumia wazabuni wa ndani kusimamia miradi ya maendeleo ili kuepukana na ucheleweshaji wa kukamilisha Miradi. Hayo yamezungumzwa na baadhi ya wananchi wa…

21 October 2024, 12:58 pm

TFRA yawanoa wakulima, Amcos na wafanyabiashara Iringa

Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) Nyanda za Juu Kusini imejizatiti kuwajengea uwezo wakulima na mawakala wa mbolea ya ruzuku mkoani Iringa ili kuboresha utendaji wao. Wakizungumza mara baada ya mafunzo yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili…

21 October 2024, 11:35 am

Milion 600 kujenga sekondari ya Igowole Mufindi

Na Fredrick Siwale Serikali imetenga zaidi ya milion 600 katika shule ya sekondari Igowole wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ili kuboresha miundombinu ya elimu. Hayo yamezungumzwa Katika mahafali ya 34 katika Shule ya Sekondari Igowole na Afisa elimu Sekondari Halmashauri…

21 October 2024, 10:26 am

Waziri Lukuvi aishukuru serikali barabara ya Msembe-Iringa Mjini

Na Van Kahise Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani ameishukuru serikali kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi barabara kwa kiwango cha lami kutoka Kijiji cha Msembe lango la Hifadhi…

19 October 2024, 11:32 am

Mgogoro wa Wakulima na wafugaji Pawaga kutafutiwa suluhu

Changamoto na kero zinazowakabili wafugaji na wakulima katika Tarafa ya Pawaga iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa zimeanza kutatuliwa. Na Joyce Buganda WAKULIMA wa Tarafa ya Pawaga, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na wafugaji kuruhusu mifugo kuingizwa…

12 October 2024, 7:45 pm

SHIUMA lataka machinga Iringa kukomesha migogoro

Na Adelphina Kutika Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga mjini Iringa kukomesha migogoro inayowagawa ili wawe na sauti moja katika kushughulikia masuala yao. Wito huu umetolewa  na Katibu Mkuu wa SHIUMA Taifa, Venatus…

10 October 2024, 3:48 pm

TRA kuboresha mazingira na wafanyabiashara Iringa

Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeahidi kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara mkoa wa iringa ili kuboresha mazingira ya mazuri yatakayowawezesha kulipa kodi kwa wakati. Hayo yamebainishwa na Kamishina  mkuu wa  Mamlaka ya Mapato Tanzania Yusufu Mwenda  katika kikao…