Nuru FM
Nuru FM
27 August 2025, 11:21 am

Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake wenye ulemavu katika nafasi za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Na Hafidh Ally na Dorice Olambo
Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani watu wenye ulemavu hasa wanawake wanapewa fursa ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu ili kupata nafasi za uongozi.