Mpanda FM

Recent posts

8 June 2022, 4:17 pm

WANANCHI WALALAMIKIA VIBAO VYA MBAO

MPANDA Baadhi ya wakazi wa mtaa wa mtemibeda  kata ya misunkumilo manispaa ya  mpanda mkoani katavi wameutaka uongozi wa manispaa kuondoa vibao vya mbao vinavyoonesha majina ya mitaa na barabara na badara yake kuwekewa vya chuma  kama ilivyo kwa  maeneo…

8 June 2022, 4:14 pm

HAKI ZA WATOTO ZIZINGATIWE

Jamii imetakiwa kutambua kuwa Ajira kwa watoto zina athiri malengo na afya zao kiujumla . Wakizungumza na mpanda fm wakazi wa halmashauri ya Manspaa Mpanda wamesema kuwa ziko familia ambazo zinawafanyisha kazi watoto hali inayodhorotesha afya za watoto hao. Sambamba…

8 June 2022, 4:03 pm

USIRI KWA WANAUME UNAVYOCHANGIA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI

Wananchi mkoani katavi wametoa maoni yao juu ya kwanini usiri kwa wanaume unapelekea kusumbuliwa na changamoto ya afya ya akili. Wamyasema hayo wakati wakizungumza na Mpanda Radio Fm na kusema kuwa hiyo ni kwasababu wanaume wengi si wazungumzaji wa vitu…

8 June 2022, 4:01 pm

WANANCHI WALIA NA BEI ZA NAULI

Baadhi ya wananchi mkoani katavi wameuomba uongozi unao simamia vyombo vya usaifi mkoani hapa kupunguza bei ya nauli na kiirejesha kama ilivo kuwa hapo awali. Wakizungumza na kituo hiki baaadhi ya wananchi wamesema kuwa kupanda kwa bei ya nauli kwa…

8 June 2022, 3:55 pm

WAKULIMA WA MPUNGA WAASWA KUTUMIA NJIA ZA KISASA KUHIFADHI MAZAO

Wakulima wa Mpunga mkoani Katavi wameaswa kutumia njia za kisasa za kuhifadhi zao hilo mara baada ya kuvuna ili waweze kuendana na utunzaji bora kwa manufaa ya  zao hilo likiingia sokoni. Akizungumza na Mpanda radio fm afisa kilimo kata ya…

8 June 2022, 3:50 pm

MIGOGORO NA ATHARI KATIKA NDOA

Baadhi ya wananchi Wilayani Mpanda wamesema wivu wa mali, hofu ya kupoteza nafasi na kutozimudu hasira zimekuwa ni sababu za migogoro mingi ndani ya ndoa. Wakizungumza na Mpanda radio FM wananchi hao wamesema ndoa nyingi zimekuwa zikikumbwa na migogoro ya…

8 June 2022, 3:47 pm

WANAWAKE JISHUGHULISHENI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Wanawake katika halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kujishughulisha ili waweze kujikwamua na umaskini. Wakizungumza na mpanda radio fm wanawake ambao wanajishughulisha na upetaji wa pumba na kujipatia chenga za mchele na kisha kuziuza wameeleza namna kazi hiyo…

8 June 2022, 3:45 pm

TUWEZESHENI, TUKAWAWEZESHE

Wanachama wa Chama cha wafugaji wa ngombe wa maziwa cha Kashauriri Livestock Keepers kilichopo Wilayani Mpanda  wameomba kuwezeshwa na taasisi za fedha kwa lengo la kujikwamua kiuchumi na kutoa fursa ya ajira kwa jamii. Wakizungumuza wakati wa kilele cha maadhimisho…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.