Nuru FM
Nuru FM
4 June 2022, 7:23 am
CHUO cha maendeleo ya jamii Ruaha (CDTI) kwa kushirikiana na Serikali ya Kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota wameamua kujenga zahanati kwa lengo la kuwasogezea wananchi huduma ya afya kupatikana jirani. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwanza mkuu…
21 May 2022, 11:28 am
Wafanyakazi wa Redio Nuru fm wakishirikiana na watuma salamu Mkoa wa Iringa wamewatembelea wafungwa wa Gereza la iringa manispaa na kukabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali. Wakizungumza wakati wa kukabidhi mahitaji hayo yakiwemo mablanketi, mashuka, nguo, mafuta ya kupaka, sabuni za…
21 May 2022, 11:16 am
Baraza la madiwani Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji limeazimia kwa kauli moja kuchukulia hatua kwa viongozi wa wafanyabiashara wanaokwamisha mpango wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Kigoma na Mwanga. Akiwasilisha ajenda maalum ya kujadili ujenzi wa masoko hayo…
21 May 2022, 11:14 am
Wauzaji na wasambazaji wa nishati ya gesi wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na mizani ya kupimia kiwango stahiki cha gesi kama sheria inavyoagiza. Wito huo umetolewa na Meneja wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na Maji (EWURA), Kanda ya kaskazini…
20 May 2022, 7:48 am
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amesema Serikali imeanza mchakato wa kutunga Sheria ya kuwalinda wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama ‘machinga’. Dkt. Zainab ametoa kauli hiyo jijini Dodoma Mei 19, 2022…
20 May 2022, 7:45 am
HOSPITALI ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kupitia kitengo cha kifua kikuu na ukoma imefanikiwa kuibua wagonjwa 1,728 wenye maambukizi ya kifua kikuu kuanzia mwaka 2020 hadi Januari 2022. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt Wilfred Rwechungura,…
20 May 2022, 7:40 am
Bunge limeidhinisha bajeti ya Sh trilioni 2.7 ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) bungeni mjini Dodoma . Akiwasilisha bajeti hiyo jana , Waziri wa Ulinzi, Stergomena Tax, amesema katika Mwaka wa Fedha…
20 May 2022, 7:37 am
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema anavutiwa na utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hasa kutokana na kuwa msikivu kwa makundi mbalimbali. Lipumba ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan…
20 May 2022, 7:35 am
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imeziruhusu nchi wanachama kuendelea kununua gesi kutoka Urusi lakini bila ya kukiuka vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi baada ya nchi hiyo kuimavia Ukraine. Hata hivyo Halmashauri hiyo inazishauri nchi wanachama kutofungua akaunti za sarafu…
20 May 2022, 7:13 am
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuweka kambi jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ utakaowakutanisha dhidi ya Young Africans Jumamosi (Mei 28), katika Uwanja wa CCM Kirumba. Simba SC imetangaza rasmi…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.