Nuru FM
Nuru FM
4 July 2022, 3:52 pm
Serikali imefanikiwa kujenga vyuo kadhaa ambapo kuna vyuo takribani 43 vya VETA ambavyo vinafanya kazi lakini pia kuna vyuo 39 ambavyo vinajengwa na ifikapo mwezi Julai mwishoni kutakuwa na Vyuo takribani 78 vya VETA nchini. Ameyasema hayo leo Julai 4,2022…
4 July 2022, 3:49 pm
KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumsajili Mfungaji Bora wa Azam Sports Federation Cup (ASFC), Abdul Hamisi Suleiman ‘Sopu’ kutoka Coastal Union kwa mkataba wa miaka mitatu. Sopu anakuwa mchezaji mpya wa nne na wa…
4 July 2022, 3:44 pm
KIUNGO wa zamani wa Simba,Bernard Morrison ameweka wazi kuwa ambacho anakipenda na atakikumbuka kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba ni upendo hivyo anaomba uendelee daima. Kwa sasa kiungo huyo amerejea ndani ya Yanga aliyokuwa akiichezea zamani kabla ya kuwafunga…
4 July 2022, 3:40 pm
KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imeitudisha nyuma kwa siku moja Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kutoka Julai 10 hadi 9, mwaka huu. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Mchungahela amesema sababu za kurudisha nyuma uchaguzi huo ni kupisha…
24 June 2022, 8:00 am
TUME ya Taifa Sayansi na Teknolojia ( COSTECH), imetoa zaidi ya sh milioni 400 kwa ajili ya Miradi miwili mojawapo ukiwa wa Uandaaji wa Lishe Bora ya Gharama Nafuu kwa Unenepeshaji Ng’ombe nchini. Aidha Mradi mwingine ni ukarabati wa maabara…
24 June 2022, 7:56 am
WANANCHI wa Manispaa ya Singida wataondokana na kero ya maji kufuatia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kuanza kutekeleza mradi wa maji wenye thamani ya Sh.540 Milioni katika Manispaa hiyo. Mhandisi wa Ufundi wa SUWASA Mkoa…
24 June 2022, 7:52 am
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amesema Serikali imedhamiria kutumia vyanzo vya maji vya Mito na Maziwa ili kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yaliyo jirani na vyanzo hivyo. Ametoa kauli hiyo Mkoani Katavi Juni 23,…
20 June 2022, 11:53 am
SHIRIKA la kidini la Compassion International Tanzania limepongezwa kwa jitihada zake nzuri za kusaidia watoto na vijana walio na umri chini ya miaka 18 kiroho na kimwili ikiwemo kuwapa ujuzi utakaowasaidia kujikwamua kiuchumi. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt…
19 June 2022, 5:01 pm
Hatimaye mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Kanda ya Wilaya ya Kilolo imepeleka huduma ya maji safi ya bomba katika familia ya watu watatu wenye ulemavu iliyopo kijiji cha Lulanzi Kata ya Mtitu Mkoani Iringa. Akizungumza mara…
19 June 2022, 4:55 pm
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka taasisi zote zenye dhamana ya masuala ya ardhi na makazi kuhakikisha zinaleta mikakati thabiti ya kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi iliyoainishwa wakati wa utekelezaji wa zoezi la operesheni ya anwani za makazi. Ametoa wito…
Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.
DHAMIRA
Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.