Nuru FM

Recent posts

26 March 2022, 6:54 am

Machi 28, 2022 wapangaji wanunuzi kuhamia

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) imefanyia kazi maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Machi 23 mwaka huu wakati wa uzinduzi wa nyumba za makazi za Magomeni Kota juu ya wakazi hao kununua nyumba hizo kwa utaratibu wa mpangaji- mnunuzi.…

25 March 2022, 9:16 am

Waogeleaji 100 Kuwania Medali,Vikombe Za Klabu Bingwa Tanzania

Jumla ya waogeleaji 100 kuanzia Jumamosi Machi 26  watachuana kuwania medali na vikombe  katika mashindano ya klabu bingwa ya mchezo wa kuogelea yaliyopangwa kufanyika kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST), Masaki jijini Dar es Salaam. Waogeleaji…

25 March 2022, 9:11 am

Njombe kumekucha! Maandalizi ya uzinduzi mbio za mwenge

Harakati za uzinduzi wa Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa April 2 mwaka huu katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe zimepamba moto ambapo zaidi ya watu 10,000 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Njombe wanatarajiwa kushiriki katika shughuli hiyo ya uzinduzi ya…

25 March 2022, 7:02 am

Chelsea yaruhusiwa kuuza tiketi

CHELSEA itaruhusiwa kuuza tiketi za michezo ya ugenini, mechi za mataji zinazohusisha timu ya wanawake baada ya serikali ya Uingereza kufanya mabadiliko kwenye leseni maalum ya klabu hiyo. Klabu hiyo haikuweza kuuza tiketi tangu mmiliki Roman Abramovich alipowekewa vikwazo na…

24 March 2022, 5:25 pm

Tanzania Yatajwa Kuwa Asilimia 30 Ya Wagonjwa Wa Kifua Kikuu

Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa wa kifua kikuu ambazo zinachangia asilimia 87 ya wagonjwa wote duniani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo Machi 24, 2022 kwenye maadhimisho siku ya kifua kikuu…

24 March 2022, 4:53 pm

Rais Samia Aagiza Nembo Ya Daraja La Tanzanite Kubadilishwa

RAIS Samia Suluhu Hassan, amezindua daraja jipya la Selender (TANZANITE), lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 na kuagiza nembo ya mwenge wa uhuru iondolewe na kuwekwa ya Tanzanite. Akizungumza katika ufunguzi huo amesema nembo ya daraja hilo…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.