Nuru FM

Recent posts

29 March 2022, 4:08 pm

Serikali yafuta tozo 42 zao la Kahawa-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 tu ambazo itakuwa ni jumla ya Shilingi 267 kwa kila kilo…

29 March 2022, 4:01 pm

Serikali Yaleta Mfumo Mpya Kwa Mashirika, Viwanda Vilivyobinafsishwa

SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina inakamilisha mfumo rahisi wa kupokea na kutunza kumbukumbu za Mashirika ya Umma na Viwanda vilivyobinafsishwa unaoitwa Ubinafsishaji Information System ili kuweza kufuatilia mafanikio na changamoto za mashirika na viwanda hivyo. Hayo yamesemwa na…

28 March 2022, 5:37 pm

Profesa Ngowi afariki dunia ajalini

Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo alilokuwa anasafiria kwenda mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali…

28 March 2022, 5:34 pm

Tanzania, Liechtenstein Kuwekeza Katika Kilimo Hai

Tanzania na Liechtenstein zimekubaliana kuweka mpango mkakati wa kuwekeza katika kilimo hai na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo katika mikoa ya Morogogo na Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameyasema…

28 March 2022, 9:00 am

Uingereza kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege kukabiliana na Russia

Waziri wa Ulinzi wa Uingereza ametangaza kuwa London imeamua kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege ili kukabiliana na mashambulizi ya anga ya Russia. Shirika la habari la IRNA limemnukuu Ben Wallace akisema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa, London imeamua kuipa Ukraine…

26 March 2022, 7:34 am

Aucho Kamili Kuivaa Azam Fc

UONGOZI wa Yanga, umethibitisha kuwa, kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho, yupo fiti kwa asilimia 100, ambapo ameruhusiwa kujiunga na Timu ya Taifa ya Uganda, huku Yanga wakitumia hiyo kama sehemu ya kumuandaa kuivaa Azam FC. Aucho ni miongoni mwa…

26 March 2022, 6:57 am

IGP Sirro atoa maagizo kwa wakuu wa upelelezi mikoa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazowasilishwa na wananchi hasa kuhusiana na makosa ya uhalifu kwa njia ya mtandao unaotekelezwa na baadhi ya watu…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.