Nuru FM

Recent posts

12 July 2022, 4:42 pm

Lindi yakumbwa na ugonjwa wa ajabu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna maradhi mapya ambayo yamezuka mkoani Lindi na kila wakati mapya yanaibuka wakati huko nyuma hayakuwepo. Rais Samia ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki…

12 July 2022, 4:40 pm

Atumia ARV miaka 6 bila kuwa na VVU

Mwanamke mmoja raia wa Uganda amejitokeza akitafuta haki kufuatia kugundulika kuwa hana Virusi Vya Ukimwi baada ya miaka sita ya kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo kutokana na kupimwa vibaya. Faridah Kiconco mwenye umri wa miaka 37, alianza…

11 July 2022, 8:48 am

Mbunge Kabati Awataka wananchi wasiwafiche walemavu siku ya sensa

Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu katika zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika hapa nchini tarehe 23/8/2022.   Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Iringa  Mh. Ritta Kabati ambaye Pia…

11 July 2022, 8:24 am

Wanafunzi wafa kwa kukosa hewa ndani ya ‘School Bus’

Dereva wa basi la shule, Odunsa Mandala anashikiliwa na Polisi baada ya wanafunzi wawili kufariki huku wengine wakizimia kutokana na kukosa hewa katika basi lao la shule eneo la Aguda katika jimbo la Lagos. Mandala, alikuwa akiendesha basi kuwarudisha wanafunzi…

4 July 2022, 3:57 pm

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kuzungumza na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi…

4 July 2022, 3:52 pm

Serikali Kufanikisha Kujenga Vyuo Vya Veta Kwa Kila Wilaya Nchini

Serikali imefanikiwa kujenga vyuo kadhaa ambapo kuna vyuo takribani 43 vya VETA ambavyo vinafanya kazi lakini pia kuna vyuo 39 ambavyo vinajengwa na ifikapo mwezi Julai mwishoni kutakuwa na Vyuo takribani 78 vya VETA nchini. Ameyasema hayo leo Julai 4,2022…

4 July 2022, 3:49 pm

Azam Fc Yamsajili Sopu Mfungaji Bora Wa ASFC

KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumsajili Mfungaji Bora wa Azam Sports Federation Cup (ASFC), Abdul Hamisi Suleiman ‘Sopu’ kutoka Coastal Union kwa mkataba wa miaka mitatu. Sopu anakuwa mchezaji mpya wa nne na wa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.