Nuru FM

Recent posts

26 July 2022, 3:52 pm

Rais Samia alia ajali Mtwara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Marco Gaguti kufuatia vifo vya watu 10 vilivyotokana na kajali ya basi la Shule. Awali hiyo ambaye imetokea Julai…

26 July 2022, 3:48 pm

Maagizo ya Nape Taasisi za Serikali

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza, taasisi za serikali kushikamana, ili kwenda pamoja kuhakikisha sekta ya habari inakua kiuchumi. Waziri Nape ametoa rai hiyo wakati akizungumza kwa njia ya mtandao katika kikao kazi cha wakuu…

17 July 2022, 1:39 pm

MSD yapongezwa kwa kukabidhi vifaa tiba katika vituo vya Afya mkoani Tanga

SERIKALI kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuwezesha kukabidhi vifaa tiba katika vituo vya afya mkoani Tanga, vifaa ambavyo vilikuwa changamoto katika utoaji huduma vituoni humo. Akizungumza leo Julai 17,2022 katika mahojiano maalumu Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya…

17 July 2022, 1:33 pm

Majaliwa ‘amkubali’ mkandarasi Daraja la mawe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo hii leo Julai 17, 2022 na kuwapongeza wakandarasi waliofanikisha usimamizi na ujenzi…

12 July 2022, 4:42 pm

Lindi yakumbwa na ugonjwa wa ajabu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna maradhi mapya ambayo yamezuka mkoani Lindi na kila wakati mapya yanaibuka wakati huko nyuma hayakuwepo. Rais Samia ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki…

12 July 2022, 4:40 pm

Atumia ARV miaka 6 bila kuwa na VVU

Mwanamke mmoja raia wa Uganda amejitokeza akitafuta haki kufuatia kugundulika kuwa hana Virusi Vya Ukimwi baada ya miaka sita ya kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo kutokana na kupimwa vibaya. Faridah Kiconco mwenye umri wa miaka 37, alianza…

11 July 2022, 8:48 am

Mbunge Kabati Awataka wananchi wasiwafiche walemavu siku ya sensa

Wananchi Mkoani Iringa wametakiwa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu katika zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika hapa nchini tarehe 23/8/2022.   Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Iringa  Mh. Ritta Kabati ambaye Pia…

11 July 2022, 8:24 am

Wanafunzi wafa kwa kukosa hewa ndani ya ‘School Bus’

Dereva wa basi la shule, Odunsa Mandala anashikiliwa na Polisi baada ya wanafunzi wawili kufariki huku wengine wakizimia kutokana na kukosa hewa katika basi lao la shule eneo la Aguda katika jimbo la Lagos. Mandala, alikuwa akiendesha basi kuwarudisha wanafunzi…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.