Nuru FM

Recent posts

1 December 2022, 11:24 am

Waziri Dkt Mabula Asikitishwa Na Watendaji Wa Sekta Ya Ardhi Iringa

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za Manispaa na Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kusababisha halamshauri hizo kushindwa kukusanya maduhuli ya…

1 December 2022, 9:55 am

watahiniwa 2194 wafutiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2,194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa waliofanya mitihani. NECTA imefikia uamuzi huo siku chache baada ya…

24 November 2022, 3:29 pm

Wakulima Iringa wamempongeza Rais Samia kwa kupunguza bei ya Mbolea

Wakulima mkoani Iringa wamefanya matembezi ya kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.   Wakizungumza Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Iringa wakulima hao wamesema kuwa walikuwa wakinunua mbolea kwa shilingi…

22 November 2022, 5:58 am

Bodi ya Mikopo HESLB yaongeza bajeti ya Mikopo Elimu ya juu

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Abdul-Razaq Badru amesema wameongeza bajeti ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kwa asilimia 14.7 ambalo limefikia Shilingi 654 bilioni kutoka Shilingi 570 bilioni za awali. Badru ameyasema…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.