Recent posts
31 January 2023, 8:16 am
Tanzania kupambana na biashara ya usafirishaji binadamu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango
30 January 2023, 9:28 am
Wahariri wa Radio Jamii wapigwa msasa
Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari vilivyopo chini ya Mtandao wa Redio Jamii Tanzania TADIO wameanza mafunzo ya namna ya kuandaa kuhariri na kuzituma habari kupitia tovuti ya mtandao huo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyoanza Jan…
30 January 2023, 7:00 am
Shirika la ndege la KLM laiomba Radhi Tanzania
Shirika la ndege la KLM limetoa ufafanuzi na kuomba radhi juu ya kusitisha safari zake za ndege kuja Tanzania pamoja na kutoa taarifa ya uwepo wa machafuko Nchini. Kupitia barua ya Meneja wa Air France-KLM Tanzania, kwa Waziri wa Ujenzi…
30 January 2023, 6:49 am
Mangungu ashinda uchaguzi wa Simba Sc
Mwanachama wa Simba SC Murtaza Mangungu amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kupitia Mkutano Mkuu wa Uchaguzi 2023. Mkutano huo ulianza jana Jumapili (Januari 29) na kumalizika leo Jumatatu (Januari 30) katika Ukumbi…
24 January 2023, 7:10 am
Ahukumiwa Jela miaka 30 kwa kumbaka dada yake
FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh 500,000 kwa kosa la kumbaka dada yake wa tumbo moja mwenye umri wa miaka 15. Akizungumza na waandishi wa habari,…
23 January 2023, 10:36 am
Watoto watatu wa familia wateketea kwa moto
Watoto watatu wa familia ya BI Karesma Theodory wa wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto unaodhaniwa kusababishwa na Bibatari. Tukio hilo lililoibua simanzi, lilitokea usiku kijijini humo kwa kile kinachodaiwa chanzo ni kibatari ambacho…
22 January 2023, 10:45 am
Uzalishaji wa sukari umeongezeka hapa Nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani 70,000 na kufanya kuwa na zaidi ya tani 160,000 kwenye maghala katika kipindi cha 2022 /2023…
14 January 2023, 7:55 am
TMA yatahadhari mvua kubwa mikoa sita
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa zinazoweza kunyesha hii leo Jumamosi Januari 14, 2023 katika maeneo machache ya mikoa ya Morogoro, Singida, Dodoma, Iringa, Njombe na Ruvuma. TMA kupitia taarifa yake…
14 January 2023, 7:52 am
Serikali yasisitiza Huduma Ya Kujipima Vvu Mahala Pa Kazi Yaanza
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeanzisha huduma ya kujipima VVU mahala pa kazi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma ya vipimo vya VVU kwa watumishi makazini hasa wanaume, ambapo hadi kufikia Desemba 2022 watu wapatao 96,231 wamepatiwa huduma ya JIPIME mahala…
6 January 2023, 4:55 pm
Maumivu kwa jamii bei za vyakula zikizidi kupaa
Shirika la Chakula Duniani, FAO, limesema bei za vyakula duniani zilipungua mwezi Desemba na kuashiria kushuka kwa mwezi wa tisa mfululizo, ingawa zilifikia kiwango cha juu zaidi katika rekodi ya mwaka mzima wa 2022. Faharasa ya bei ya chakula ya…