Nuru FM

Recent posts

17 February 2023, 3:24 pm

Wanafunzi Wapewa Vyandarua

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeunga juhudi za serikali ya awamu ya sita za kupambana na Malaria kwa kutoa vyandarua katika shule za msingi kwa kila mtoto. Na Adeliphina Kutika. Zaidi ya wanafunzi 230,000 wa shule za msingi 556 za…

16 February 2023, 5:07 pm

Ukaguzi Vyombo vya Moto kwa Hiyari

Kufuatia wiki ya nenda kwa usalama ambayo imeanza kuadhimishwa kitaifa kuanzia Februari 6, 2023 ambapo Mkoani Iringa itazinduliwa mnamo Februari 18, 2023. Na Ansigary Kimendo. Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani Mkoani Iringa limejipanga kufanya ukaguzi wa vyombo vya…

9 February 2023, 4:57 pm

18 Mbaroni Kwa  Wizi  wa Mafuta

Hii ni baada ya oparesheni iliyofanywa na jeshi la polisi mkoani Iringa kuanzia Jan 29 hadi Feb 5 mwaka huu Na Hawa Mohammed. Mafuta hayo, mipira 21 ya kunyonyea mafuta kwenye Malori, mapipa nane na chujio sita . Jeshi la…

6 February 2023, 10:33 am

Serikali kuimarisha sheria ya kodi

Tunaomba kuboreshwe kwa baadhi ya sheria za kodi hapa Nchini ambazo zinawabana wafanyabiashara. Na Joyce Buganda Serikali imeombwa kuendelea  kuzingatia upya  sheria za kodi ili kuimarisha uzalendo  na ulipaji kodi wa hiari. Hayo yamezungumzwa na naibu katibu Mkuu wa  Jumuiya…

4 February 2023, 1:07 pm

Wazazi na walezi Iringa wahimizwa kutoa michango ya chakula shuleni

Chakula kikiwepo shuleni kinasaidia kuondoa mazingira magumu kwa watoto na kupelekea wawe na utulivu wakati wa masomo na kukuza taaluma. Na Ashura Godwin Wazazi na Walezi mkoani iringa wametakiwa kuendelea kuchangia fedha kwa ajili ya chakula shuleni ili kuondoa mazingira…

4 February 2023, 10:35 am

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi aapishwa kuanza majukumu yake

Nendeni Mkawe mstari wa mbele kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi wenu ili kumrahisishia kazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Joyce Buganda Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Linda Selekwa …

3 February 2023, 2:47 pm

Vijana na wanawake washindwa kurejesha mikopo ya halmashauri

Wanawake na Vijana wanatakiwa wapate elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri ili wafanye marejesho kwa wakati. Na Ansigary Kimendo Kutokuwepo kwa elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri imetajwa kuwa chanzo…