Nuru FM
Nuru FM
27 March 2026, 6:29 pm

Makala hii inaelezea hatua ambazo wazazi na walezi wanapaswa kuzichukua katika malezi ili kupunguza matukio ya ukatili dhidi ya watoto
Na Hafidh Ally na Joyce Buganda
Wakati matukio ya Ukatili wa Kijinsia yakiendelea kuripotiwa katika maeneo mbalimbali Hapa nchini Nuru FM imeandaa Makala maalumu kuelezea nafasi ya Mzazi na Mlezi katika malezi ili kupunguza matukio hayo dhidi ya watoto kwa kuwajengea maadili, ujasiri, uthubutu na tabia ya kutoa taarifa pale wanapofanyiwa matukio hayo.