Nuru FM
Nuru FM
17 December 2025, 8:20 pm

Serikali, asasi za kiraia na wadau wa teknolojia wametakiwa pia kushirikiana katika kuweka mifumo madhubuti ya kulinda watumiaji wa mitandao.
Na Godfrey Mengele
Jamii imehimizwa kuwapa elimu wanawake na wasichana kuhusu matumizi salama ya mitandao, ikiwemo kulinda taarifa binafsi, kutumia nywila salama, na kuepuka kushiriki taarifa au picha zinazoweza kutumiwa vibaya.
MWANAHABARI WETU GODFREY MENGELE AMETUANDALIA UNDANI WA TAARIFA HII…