Radio Tadio

Teknolojia

23 September 2026, 6:55 am

NGOs Manyara zatakiwa kuheshimu mila, tamaduni za Kitanzania

Serikali mkoani Manyara imekutana na Mashirika yasiyo ya kiserikali kujadili masuala muhimu yanayofanywa na Mashirika hayo. Na Mzidalfa Zaid Mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Manyara yametakiwa kuzingatia na kuheshimu mila, desturi na utamaduni wa kitanzania wakati wa kutekeleza shughuli zao,…

22 September 2026, 17:17

‘Adhabu kali kwa watoto huwaathiri kisaikolojia’

Adhabu kali hazisaidii kuwafundisha watoto, bali huwajaza hofu na kuwafanya kuwa waoga. Na Daniel Njau. Adhabu kali wanazopewa watoto majumbani na shuleni zimetajwa kuwa na madhara katika ukuaji wao wa kisaikolojia, huku wataalamu wakisisitiza matumizi ya njia mbadala za malezi…

26 August 2026, 17:20

Adhabu kali humfanya mtoto kuwa na hofu

Amewashauri wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuzungumza nao kwa upendo ili kujenga uaminifu, jambo litakalo wawezesha watoto kueleza changamoto zao na kusaidiwa mapema. Na Rahel Joseph. Imeelezwa kuwa adhabu kali kwa mtoto humjengea hofu na kumfanya ashindwe kujiamini…

26 August 2026, 17:13

Wazazi watakiwa kuendelea kuimarisha malezi ya watoto

Wananchi,wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wametakiwa kutambua wajibu wao wa malezi, kuwaongoza watoto kwa nidhamu na kushirikiana na viongozi wa dini pamoja na jamii katika kujenga kizazi chenye maadili mema. Na Daniel Njau. Wananchi wameeleza kuwa mabadiliko ya maadili…

30 July 2026, 17:23

Serikali yachukua hatua mtoto aliyepotea Dar kurudishwa Mpwapwa

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha watoto wote wanaopotea wanapatikana na kurudishwa kwa wazazi wao. Na Stephen Noel. Serikali imesema imechukua hatua ya kumtafuta mtoto wa Mpwapwa aliepotea jijini Dar es Salaam na sasa imeshaanza utaratibu wa…

28 July 2026, 16:57

Elimu ya malezi yatajwa kuwa msingi wa familia imara

Malezi bora ni wajibu wa jamii nzima, wakisisitiza ushirikiano kati ya wazazi, walezi, shule na jamii kwa ujumla Na Daniel Njau. Wazazi na walezi wametakiwa kuimarisha ushiriki wao katika malezi ya watoto kwa kuhudhuria na kufuatilia vipindi vya malezi, hatua…

30 June 2026, 17:49

Unapambana vipi na ‘sogea tuishi’ za utotoni?

Bado ipo haja ya kutafuta ufumbuzi zaidi kwenye suala la ukatili wa kijinsia hasa uwepo wa ndoa za utotoni, ambao umekuwa ukikatisha ndoto za watoto wa kike katika elimu na pia kuhataria afya zao. Na Mariam Kasawa. Utafiti mpya wa…

26 June 2026, 15:41

Michezo ni sehemu muhimu katika ukuaji wa mtoto

Hata hivyo, baadhi yao wameonya kuwa michezo inaweza kuwa na hatari iwapo watoto watacheza bila uangalizi wa watu wazima. Na Daniel Njau.Michezo imeendelea kutajwa kuwa sehemu muhimu katika ukuaji wa watoto, huku wananchi wakisema huwasaidia kuwa wachangamfu, kujifunza kushirikiana na…